Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
huyu disainer wa hizi vitu atakuwa ni Ukawa yani kabisa , mbona baba Ridhwan zilikuwa zinamkaaa fresh tuuu
 
Hapa Kuna vitu viwili naomba viangaliwe nampngeza Rais kwa ukaguzi wa mizigo wakati wa kaingia dsm kupitia JNIA terminal 1.Na juzi nilifurahi zaidi nilipopita terminal 02 na kibegi changu Bila hili wala lile naitwa nikaguliwe wakati miaka yote hiyo procedure huwa haipo. Niliporudi nikakaguliwa begi kupitia Ile scanner safi kabisa. Cha ajabu ni kwamba mwanza airport hiyo kitu hakuna kabisa watu wanatoka migodini, mbugani etc pia ndege ndogondogo zinazotokea viwanja vidogovidogo zinatua na kuondoka. Umuhimu huu unaopewa JNIA upelekwe na huku kwingine.

2: Ile scanner pale boarder mtukula Mara mbili kwa vipindi tofauti Nimepata haifanyikazi pamoja na kuona watu terminal 01 wakishughulikiwa kw scanner kufeli.
 
AKINA MAMA BWANA! HUYU MAMA SI ALIGOMBEA URAISI JAMANI? NA AKINA MAMA SI NDIO WENGI NCHI HII? NA HAPA TUNAMSIFIA KWAMBA NI KICHWA ILIYOJAA WEREVU MBONA HAMKUMCHAGUA KUWA RAISI. TUACHENI UNAFIKI
 
AKINA MAMA BWANA! HUYU MAMA SI ALIGOMBEA URAISI JAMANI? NA AKINA MAMA SI NDIO WENGI NCHI HII? NA HAPA TUNAMSIFIA KWAMBA NI KICHWA ILIYOJAA WEREVU MBONA HAMKUMCHAGUA KUWA RAISI. TUACHENI UNAFIKI
Umenena mkulu hakika kwakweli
 
Hapa Kuna vitu viwili naomba viangaliwe nampngeza Rais kwa ukaguzi wa mizigo wakati wa kaingia dsm kupitia JNIA terminal 1.Na juzi nilifurahi zaidi nilipopita terminal 02 na kibegi changu Bila hili wala lile naitwa nikaguliwe wakati miaka yote hiyo procedure huwa haipo. Niliporudi nikakaguliwa begi kupitia Ile scanner safi kabisa. Cha ajabu ni kwamba mwanza airport hiyo kitu hakuna kabisa watu wanatoka migodini, mbugani etc pia ndege ndogondogo zinazotokea viwanja vidogovidogo zinatua na kuondoka. Umuhimu huu unaopewa JNIA upelekwe na huku kwingine.

2: Ile scanner pale boarder mtukula Mara mbili kwa vipindi tofauti Nimepata haifanyikazi pamoja na kuona watu terminal 01 wakishughulikiwa kw scanner kufeli.
Samahan kwa kukwambia hili neno ninalotaka kukwambia

Wanafunz zaid ya nusu wamekosa mikopo watasomaje hawa watoto wa masikini
Na lazma ujiulize kwann mwaka u tu

Naomba uwasalimie milembe mkuu
 
najua wengi mtanipinga kwa sababu mtajifanya mna akili sana...ila mm kama ningepewa nchi hii kwa masaa 24 ningebadili kodi ya viwanda tuu...nikimaanisha ningewaondolea watu wa viwanda kodi kubwa walionayo...hii ingechochea viwanda vingi kuja kujengwa nchini kwetu na kufanya wananchi kupata ajira kwa wingi...huku nikikumbuka kuwa nitakusanya kodi madukani na bidhaa zitakazokuwa zinaenda nje ya mipaka...yani ukifikiria kiwanda kama kiwanda kinawaweka watu wengi katika mzunguko na wengi wananufaika....ila ukiweka kodi matokeo yake viwanda hakuna na pia watu hawana shughuli za kufanya...matokeo yake ni kuongelea CCM na CHADEMA....nawakilisha..
 
Mimi ningeeleza wapi zimeenda pesa za waathirika wa tetemeko.

Ningeeleza kwa nini wanachuo wamekosa boom

Ningeeleza ukweli kuhusu serikali kutoajiri

Wakuu wa wilaya wote wangesugua pum** , mana hicho cheo ningekifuta..

Ningemsimamisha kazi kiongoz wa wanaume wa dar a.k.a chaumbea

[emoji3][emoji3][emoji1][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Samahan kwa kukwambia hili neno ninalotaka kukwambia

Wanafunz zaid ya nusu wamekosa mikopo watasomaje hawa watoto wa masikini
Na lazma ujiulize kwann mwaka u tu

Naomba uwasalimie milembe mkuu
Usiombe samahani maana unaonyesha Uwezo wako wa kushindwa kuelewa mambo mepesi
Hayo ni yangu yako yaeleze wewe. Ukukua utaelewa kuwa hapa sio sehemu za kumwaga stress zako unaelezea problem na suggested soln
 
Wakuu tujitahidini kumshauri mh.rais kwa utulivu na hekma kwani anaweza kuufanyia kazi ushauri wetu. Tushaurini bila kukata tamaa cha msingi in lugha ya staha na hekma kwa kiongoz wetu.

Shauri tena na tena usichoke
 
Ewe Lizabon unayeshinda humu mtandaoni ukimsifia Magufuli kuzidi hata mungu aliyekuumba naomba huu ujumbe umfikishie JPM.

Naomba umkumbushe kuwa muda wa kampaini umeisha kwisha hatuoni kazi anayofanya mpaka sasa zaidi ya siasa za kizamani.

Alituhaidi Tanzania ya viwanda na sio Tanzania ya mahakama.

Mpaka sasa hatuoni hata dalili ya kiwanda cha njiti za kuchokolea meno. Kila siku anatoa ahadi utadhani bado yupo kwenye kampain. Mwambie atimize ahadi alizotoa kipind anaomba kura kwanza izo nyingine asubiri mpaka kampain 2020.

Anatumia nguvu nyingi kuziba midomo ya wapinzani lakini uchumi unamuumbua. Mwambie kuwa " he can fool Tanzanians but not Economy"

Naomba umkumbushe kuwa yeye pia ni binadamu sio malaika. Anaweza kukosea kama binadamu wengine. Tunajua alikuwa hajajipanga kwa majukumu ya Uraisi. Haita mcost chochote siku akituambia tu ukweli kuwa serkal haina pesa na uchumi unashuka kuliko kutupa matumaini wakati sisi wenyewe tunaona maisha ya leo bora ya jana. Sisi watanzania niwapole mno na waelewa. Sikuzote mtu anayekubali kosa na kuaplogize is better than yule anayejifanya kichwa ngumu.
Na anayekubali kuwa kakosea sikuzote utafuta solution.

Kama mzalendo wa nchi yangu ninaumia kuona kila kona nayopita watu wanalalama kuwa maisha yamekuwa magumu. Na kila anayelalama haishii hapo lazima ataje jina Magufuli. Kwa sasa kila nakopita kati ya watu 100, 92 wanamuongelea magufuli kwa mabaya.

Ninapata uchungu naposikia viwanda vinafungwa kila kukicha, nyumba za watu zikipigwa mnada, bei ya chakula ikipanda. Tena Hasira inanizidi mpaka nataka kupasuka pale naposkia magufulu na mawaziri wake wakikuja navifua mbele wakijisifu eti uchumi unakua. Uchumigani unakua wakati our purchasing power is declining beyond repair. Au mpaka uchumi wetu uwe kama wa zimbabwe ndipo mtakubali kuwa nchi imefilisika?

Nchi gani yenye pesa imeshindwa hata kusaidia wahanga wake wa Tetemeko la arthi? Misaada yenyewe umepigwa pata potea.

Anapanga kununua pangaboi wakati hata mfuko wa maafa umetoboka.

Naomba niishie hapo kwa leo maana nasikia uchungu mpaka machozi yananitililika.
 
wewe USIPO ANGALIA maisha yako yote utakuwa ni mtu wa kulalamika tu....FANYA KAZI ACHA UMBEA HUKU MITANDAONI
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom