Maoni yangu juu ya Mkataba wa Bandari na DP World

Hii ni kweli baada ya mijadala mingi kuzuka hapa jukwaani nikajua Tanzania nzima inapinga na hilo kumbe sio, huko mtaani watu hawana muda kabisa na hilo na kuna machizi fulani wameenza kuweka bendera zisizo tambulika duniani kweye DP zao.

Tetesi nilizopata nikuwa mikakati ya bandari inaenda vizuri sana na hivi karibuni waarabu wataanza kufanya kazi mapema iwezekavyo.
Kama mtaani kwako kumejaa chichiem wasiojielewa njaa mbele unategemea upate maoni gani.
 
Kuna Tanzania mbili, ile tunayoishi mtaani na ile ya mitandaoni.

Kelele nyingi za kupinga na kutetea mkataba wa DPW zipo mitandaoni ila mtaani pako kimya sana.
 
Hii ni kweli baada ya mijadala mingi kuzuka hapa jukwaani nikajua Tanzania nzima inapinga na hilo kumbe sio, huko mtaani watu hawana muda kabisa na hilo na kuna machizi fulani wameenza kuweka bendera zisizo tambulika duniani kweye DP zao.

Tetesi nilizopata nikuwa mikakati ya bandari inaenda vizuri sana na hivi karibuni waarabu wataanza kufanya kazi mapema iwezekavyo.
Kakojoe ulale
 
Yah right. MIKAKATI!! Nyie endeleeni na Mikakati yenu tu. Naona na wewe ni sehemu ya huo Mikakati.
 
Hakuna mtz hata mmoja anaepinga
hata humo mitandaoni ni warundi na wanyarwanda tu wa tz wana shida nchi yao iendelee ila hao niliowataja wakiongozwa na kunyaland ndio wanaleta chokochoko
Hii ni kweli baada ya mijadala mingi kuzuka hapa jukwaani nikajua Tanzania nzima inapinga na hilo kumbe sio, huko mtaani watu hawana muda kabisa na hilo na kuna machizi fulani wameenza kuweka bendera zisizo tambulika duniani kweye DP zao.

Tetesi nilizopata nikuwa mikakati ya bandari inaenda vizuri sana na hivi karibuni waarabu wataanza kufanya kazi mapema iwezekavyo.
 
Hakuna mtz hata mmoja anaepinga
hata humo mitandaoni ni warundi na wanyarwanda tu wa tz wana shida nchi yao iendelee ila hao niliowataja wakiongozwa na kunyaland ndio wanaleta chokochoko
Na ndio hao wanaovaa bendera za tanganyika
 
Kuna Tanzania mbili, ile tunayoishi mtaani na ile ya mitandaoni.

Kelele nyingi za kupinga na kutetea mkataba wa DPW zipo mitandaoni ila mtaani pako kimya sana.
Na hawajui ilo jambo linaendelea vip watz wengi wapo Facebook na Instagram ila huko kote kuko shwali kelele za walal njaa zipo uku pekee
 
Back
Top Bottom