Shida wengi wanatumia akili za kuambiwa wanafuata upepo.
Hatari iliyopo wapo wanaotafuta huruma ya wananchi kwakuhubiri mambo yanayokasirisha ili wananchi wafanye fujo na wanafanikiwa kushawishi kwani wanavipaji hivyo kinachosaidia hawana uwezo wa kutekeleza matakwa yao hatuhitaji vita nchi hii kwasababu tumeshuhudia mavita yasiyo isha na hayajawahi kuleta tija.
Kuna wanasiasa naona wanatumia lugha chafu za kuudhi ili waguswe wapate sababu na kuvuruga amani ninashauri Serikali isiwajibu waache walete uzushi wa kujitumia vitisho na kusingizia eti wanatishiwa kuuwawa eti kwasababu wanakosoa Serikali!
Wanahama kwenye hoja na kuanzisha chokochoko ili wakimbilie nje ya nchi chondechonde waachwe hawana watu wa kuwaunga mkono watabaki na aibu.
Wanachokifanya hata wangekuwa wao madalakani wasingeweza kupokea ushauri au kukosoa kwa kutumia lugha ya kuudhi.
Mpaka sasa kuna pande mbili zenye mitazamo tofauti wale wanaopinga na wanao afiki ni lazima tutafute namna ya kutatua mgogoro huu kwa mijadala yenye afya.