Maoni yangu juu ya Mkataba wa Bandari na DP World

Kama mtaani kwako kumejaa chichiem wasiojielewa njaa mbele unategemea upate maoni gani.
 
Kuna Tanzania mbili, ile tunayoishi mtaani na ile ya mitandaoni.

Kelele nyingi za kupinga na kutetea mkataba wa DPW zipo mitandaoni ila mtaani pako kimya sana.
 
Kakojoe ulale
 
Yah right. MIKAKATI!! Nyie endeleeni na Mikakati yenu tu. Naona na wewe ni sehemu ya huo Mikakati.
 
Hakuna mtz hata mmoja anaepinga
hata humo mitandaoni ni warundi na wanyarwanda tu wa tz wana shida nchi yao iendelee ila hao niliowataja wakiongozwa na kunyaland ndio wanaleta chokochoko
 
Hakuna mtz hata mmoja anaepinga
hata humo mitandaoni ni warundi na wanyarwanda tu wa tz wana shida nchi yao iendelee ila hao niliowataja wakiongozwa na kunyaland ndio wanaleta chokochoko
Na ndio hao wanaovaa bendera za tanganyika
 
Kuna Tanzania mbili, ile tunayoishi mtaani na ile ya mitandaoni.

Kelele nyingi za kupinga na kutetea mkataba wa DPW zipo mitandaoni ila mtaani pako kimya sana.
Na hawajui ilo jambo linaendelea vip watz wengi wapo Facebook na Instagram ila huko kote kuko shwali kelele za walal njaa zipo uku pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…