Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Hivi Mkuu tunapozungumzia ulaji wa mafuta inakula sana au haili kabisa wastani wake ni upi kwa mfano Gari ikiwa ktk mizinguko ya kawaida au safarini iwe kwa wastani wa Lita moja itembee kilomita ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
SUV kama Harrier,RAV4,Kluger,Murano,Xtrail,ikiweza range ya wastani km 9-11 kwa lita 1 kwa highway, hiyo iko poa. Na kwa mjini,ikiweza 7-9 km kwa lita 1 nayo siyo mbaya. Hali zote hizo ikiwa na full AC

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kluger ukiitumia mjini inakula 5.5-6.5km/ l. Kwenye highway huwa napata 9km/l. Kwa kuwa mimi ni mtu wa masafa huwa naitumia kwa safari sana sana. Ni stable, huchoki na haina kelele. Ni very reliable kwani haina usumbufu wa kuharibika ili mradi upate fundi anayeifanyia service nzuri. Mafundi wengi wanaikosea kwenye service hasa aina za oil. Ni stable kuliko harrier hasa kwenye rough road na high speed


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu hata zile Lexus RX300 zina tabia sawa na Harrier?
Ukiondoa tako la fulani,je old model zake nazo vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Nilianza na lexus inakula wese zaidi kwa town trip! Pia kuuza inasumbua kidogo, old model bado its okay lkn badala ya kununua old model bora ukae kwenye ist, mambo yakiwa sawa una upgrade kwenye tako la nyani pia zinazid kushuka bei kadri mda unavyoenda!
 
Hàta mm huwa nashangaa sana haya magari ya kijapan mengi yao huwa yana speed mwisho 180k/h.Sasa huwa najiuliza Magari ya Ulaya utakuta speed mpaka 260k/h.halafu mtu anakuja kusema harrie linakimbia karibu ya kupaa au hujaona aina ya hizi gari!
Ivi mnaposema hii gari ina speed mnazungumzia nini? Ile 180K/h ama?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ajabu sana. Au hata kama umeamua kuzungumzia kwamba gari inakimbia kwasababu inachanganya haraka, Kwenye dunia hii of all the cars ukitaka kuzungumzia gari inayochanganya haraka unanaiweka HARRIER kwel? hahahhaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…