Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Kaka Goldman,hizo zinazokula mafuta old Model ni za engine gani? 5S, 2AZ au 1MZ?
Kuna tofauti kati ya Normal Harrier ya Engine ya 5S na Harrier Lexus,Normal Harrier engine 2AZ na Harrier Lexus katika ulaji wa mafuta?Nini kinabadilika ikiwa engine zina ukubwa sawa? Naomba kuelimishwa kabla jamaa yangu hajaingia mkenge,anataka kuagiza Harrier Lexus Old Model la engine ya 2AZ mwaka 2002.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli sio kama speed yake ni kubwa sana,kwani max speed yake 180 km/h,ila pulling power yake ni kubwa kulingana na uzito wa gari,na hii utaiona hasa ukiwa unaondoka hasa kama ilikuwa imesimama au ukiwa una overtake gari nyingine...
 

Nimecheka sana.
 
Bei gani mkuu
 
Control yake mkuu ilipata hitilafu ikawa inafanya mambo ya kichawi, nipo ndani naskia gari inawaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kijicho cha watu hicho... Wale wenye roho ya korosho

Jr[emoji769]
 
Ooooh kumbe wewe ulikua unataka yale maubishi ya watoto wa kota.....kama hujaelewa basi, soma juu hapo kuna mtu alielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…