Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

tuma picha za hiyo lexus tunaeza fika bei mkuu. Tunaomba na bei yake pia
 

Watu wengi hasa wabongo hatujui magari na tunapenda sana kufata mkumbo.

Toyota nyingi (si zote) zina tatitzo moja kubwa, hazitulii barabarani tofauti na Nissan ama gari nyingi za ulaya, na hii ni miongoni mwa sababu kubwa zinazosababisha ajali.

Binafsi nimeachana na toyota muda mrefu sana, ni mwendo wa Nissan ama gari za ulaya pamoja na changamoto za gharama za kuendesha magari hayo ila kwa upande wangu safety first!
 
pole sana, tupambane tu kwa hopes
 
Bora ukae 100-140 ukizid kwa corner inaweza kufanya yake! Haiko stable kwa corner in high speed ni gari ya suburban yaani siyo ya safari sana haiatmii barabara ishanitoa wenge mara nyingi tuu just dont overspeed.

hivi barabara zetu zinaruhusu hizi kweli jamani au mimi ndiyo sielewi!
 
Mkuu, nimenunua hii kitu kwa mtu miezi sita iliyopita ikanishinda nikauza niliyemuuzia kapiga mzinga maeneo ya senkenke kwa mbele mwezi uliopita, nilipata mshituko sana nikahisi kama ilikuwa inanitafuta.
.....
Ila jamaa mzima
Ulishindwa kwenye lipi maana ndo gari nayoichangia hela ili niinunue kwa sababu inafaa kifamilia zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa mkuu.. Safari ndefu usitake kulazimisha eti utembee above 140km/hr..

Mimi safari zangu ndefu zote natembea si zaidi ya 130km/hr..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…