hivi barabara zetu zinaruhusu hizi kweli jamani au mimi ndiyo sielewi!
Nilishauza ilikuwa na shockup za busta unaminya button inashuka au kupanda.tuma picha za hiyo lexus tunaeza fika bei mkuu. Tunaomba na bei yake pia
Lexus ni V6 engine kubwa kidogo, pia siyo jila ikiandikwa lexus ukadhan ni lexus, lexus ni luxury brand radio na speaker ni kubwa zaidi ni full leather, show ya ndani ni wooden finished touch na engine kubwa.Kaka Goldman,hizo zinazokula mafuta old Model ni za engine gani? 5S, 2AZ au 1MZ?
Kuna tofauti kati ya Normal Harrier ya Engine ya 5S na Harrier Lexus,Normal Harrier engine 2AZ na Harrier Lexus katika ulaji wa mafuta?Nini kinabadilika ikiwa engine zina ukubwa sawa? Naomba kuelimishwa kabla jamaa yangu hajaingia mkenge,anataka kuagiza Harrier Lexus Old Model la engine ya 2AZ mwaka 2002.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa umenena huyu ndo mchawi wa HarrierBinafsi Huwa Nalikubali sana Vanguard aisee acha Kabisa....limekaa kaa kama Gaidi Fulani....hata Uniwekee Harrier na Vanguard halafu uweke Hela Kwenye Harrier ntachagua Vanguard.View attachment 1047833
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo rangi tofauti ila wengi wanapenda nyeusiHivi hizi gari huwa ni nyeusi tu? Zote nilizoona hapa Dar ni nyeusi
ume generalize mno mkuu. Haya vx,sijui ma v8 yote si ni Toyota? unasema hayajatulia barabarani? Anyway natafuta Grand vitara , nipe somo kuihusuWatu wengi hasa wabongo hatujui magari na tunapenda sana kufata mkumbo.
Toyota nyingi (si zote) zina tatitzo moja kubwa, hazitulii barabarani tofauti na Nissan ama gari nyingi za ulaya, na hii ni miongoni mwa sababu kubwa zinazosababisha ajali.
Binafsi nimeachana na toyota muda mrefu sana, ni mwendo wa Nissan ama gari za ulaya pamoja na changamoto za gharama za kuendesha magari hayo ila kwa upande wangu safety first!
ni series gani hiyo mkuu ...naona kama 5 series hivi?Bmw bos
Hapana Mark x zio ina Engine sawa na Harrier, Vanguard, Kluger, Rav-4 Mis TzTofauti kabisa mark X ni engine kubwa 2.5- 3000 tofauti kabisa na harrier
Jr[emoji769]
Maneno ya mtaaniXtrail gari mbovu hizo , mbona hazina soko hizo now
Nashangaa eti mtu anakwambia 180kph ni ndogo eti anakushauri ununue gari yenye 260kph, sasa unajiuliza unanunua gari uende nayo kwenye rally? Me nijuavyo mtu ukitembea speed ya 160 tu ujue upo katika hatari ya kupoteza maisha incase anything happens. Me binafsi sy muumini wa mibio hata kama nasafiri mbali 100kph nimezidi sana 130kph basi.Kweli kabisa mkuu.. Safari ndefu usitake kulazimisha eti utembee above 140km/hr..
Mimi safari zangu ndefu zote natembea si zaidi ya 130km/hr..
Katika gari ya juu yenye bei ndogo ni Nissan XtrailManeno ya mtaani
Kweli kabisa mkuu.. kwanza hatuna hata hizo barabara za kutembea 160kph and above.. barabara zimejaa mashimo hiyo 160 unajitafutia kifo tu.Nashangaa eti mtu anakwambia 180kph ni ndogo eti anakushauri ununue gari yenye 260kph, sasa unajiuliza unanunua gari uende nayo kwenye rally? Me nijuavyo mtu ukitembea speed ya 160 tu ujue upo katika hatari ya kupoteza maisha incase anything happens. Me binafsi sy muumini wa mibio hata kama nasafiri mbali 100kph nimezidi sana 130kph basi.
Lakini handling yake ni nzuri sana.. Inatulia barabarani kuliko gari nyingi tu za SUV..
Binafsi Huwa Nalikubali sana Vanguard aisee acha Kabisa....limekaa kaa kama Gaidi Fulani....hata Uniwekee Harrier na Vanguard halafu uweke Hela Kwenye Harrier ntachagua Vanguard.View attachment 1047833
Sent using Jamii Forums mobile app
hizi gari zina share same engine na MARK X ZIO, unaweza kutoa uzoefu wowote juu ya mark x zio?
Nilishaliendesha Dar to Songea zaidi ya mara tano nilijikuta natumia akili nyingi sana, maana mimi napenda sana mbio, lakini lenyewe ukifika 140 unaona kabisa linataka kupaa. Nimebaki zangu na GX 110 ndo mpango mzima natembea hadi namaliza kisahani
Kuna gari ya kimarekani inaitwa jina la hio ID yako niliiona Tegeta kule,nilikapenda kale ka gari.Unique.Tako la nyani ni gari nzuri sana
ila nililikwepa kwa sababu limependwa SANA wanawake.
ilikuwa na tatizo kwenye control yake, niliinunua kwa mtu sikutoa show room.Ulishindwa kwenye lipi maana ndo gari nayoichangia hela ili niinunue kwa sababu inafaa kifamilia zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app