Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

ume generalize mno mkuu. Haya vx,sijui ma v8 yote si ni Toyota? unasema hayajatulia barabarani? Anyway natafuta Grand vitara , nipe somo kuihusu

Mkuu, kama nilivyosema pale mwanzo ni kuwa toyota nyingi hazijatulia. Ila miongoni mwa chache zilizotulia ni kama hizo vx na v8.

Ngoja nikupe uzoefu wangu kidogo, nilikuwa nimezoea kuendesha SUV nissan ambayo kwa kawaida nimezoea kulala nayo katika kona hata nikiwa above 140, sasa siku moja nikaombwa kuwatoa watu Tanga niwapeleke Dar kwa harrier yao yaani nilijuta. Gari haishiki barabara kabisaaaa katika kona nikahisi kabisa inaweza kutuangusha basi nikawa mpole.

Pamoja na hayo yote, lipo jambo la msingi unapaswa kujua unapotaka kununua gari, je mahitaji yako ni yapi??? Ukijibu swali hili vzr ni rahisi kupata ushauri mzuri wa gari nzuri inayoweza kukufaa.

Mf: Kuna mtu anataka gari yenye hadhi - huyu malengo yake yatakuwa gari mfano v8, vx etc

Mwingine anahitaji gari ambayo ni fuel efficient atachukua gari ya cc ndogo au ambayo ni ya umeme zaidi

Mwingine yeye anajali brand ambayo ni unique

Mwingine anataka gari ambayo ni durable ili aitumie muda mrefu sana

Sasa basi ukiwa unajua unataka nini then unalinganisha na mfuko wako basi unapata kitu roho inapenda.
 
Tunazo gari aina ya nyumbu na hata NIT majuzi kati hapa walitengeneza gari ila limeundwa kwa kutumia ma'grill'.
Ina maana sisi wabongo uwezo wetu umeishia kuyapa magari nick names. Hatuna kabisa mpango au uwezo wa kutengeneza magari ya kwetu na kuyapa majina ya kikwetu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama kuna sehemu nchi hii kuna crown nyingi kama dodoma aisee,ni balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wazungu wanaposemaga:

Hairdresser cars.

Soccer mom cars.

Hua wanamaanisha nini?

Boss hii ni perception na mindset tu, hakunaga jinsia kwenye gari, kama ilivyo kwenye nguo kiasi ukivaa sketi mwanaume watu watakushangaa na kukuona kituko.....ndy mana hizo gari unazosema za wanawake wanaume pia huendesha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hata hiyo 130 kph sifiki huko nacheza kati ya 95 to 110kph. Bado kama ni Mbeya nawahi vizuri tu. Tatizo ni hizo sehemu nyingi za 50kph. Tanzania tumepoteza maana ya highway.
 
Mkuu Kwny hii list ongezea

Toyota Progress(IJZ-FSE 2.5L na 2JZ-FSE 3.0L)

Toyota celsior(3uz-FE 4.3l) hizi na zenyewe naanza kuziona mjini kiaina hivi).


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhari umetusaidia taarifa maana wengine tulidhani hizi gari zina tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…