Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Unaweza kupata pia

Jr[emoji769]
Bro wabongo kuunda gari hawezi, ila kuyabandika majina ni wako noma...[emoji848][emoji848]. Inasemekana waunda magari wanatumia hela nyingi sana kutafutia majina magari wanayounda, hawajastukia kwamba wabongo hii fani ya kupachika majina ndio lake..
We fikiria mara paaaap, unakuta nembo ya gari ni tako la gendaheka, halafu jina la gari tako la nyani..[emoji125][emoji125][emoji125][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
In short bongo watu wananunua gari kwa upepo, sahivi Mark X imeisha, uelekeo ni Crown, Harrier, Prado na IST. Kila mtu anaeagiza gari analenga humo! Mwanzo ilikuwa Vits na Raum kabla ya upepo kuhamia IST!
 
2jz ni 3000cc mzee baba
 
ilibidi wajapani wawape nomenclature department kwa ajili ya gari zao! Maana kuna gari inaitwa kitchen party
Mgongo wa chura je? Unazifahamu hizi VW? au zile vespa za Zenji huku zinaitwa bata V[emoji85][emoji87]

Jr[emoji769]
 
In short bongo watu wananunua gari kwa upepo, sahivi Mark X imeisha, uelekeo ni Crown, Harrier, Prado na IST. Kila mtu anaeagiza gari analenga humo! Mwanzo ilikuwa Vits na Raum kabla ya upepo kuhamia IST!
IST imekaza lakini mwaka wa nne sasa na ushee kampiku Carina Ti

Jr[emoji769]
 
Mshana Jr Mkuu picha tafadhali ya Tako la nyani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji2093][emoji2093][emoji2093][emoji2093][emoji2093]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…