mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwamba zipo chache sema dom mji mdogo ndo maana uanziona zipo kibao mkuu?Sidhani kama kuna sehemu nchi hii kuna crown nyingi kama dodoma aisee,ni balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani 2500
Jr[emoji769]
Sio kwamba zipo chache sema dom mji mdogo ndo maana uanziona zipo kibao mkuu?
Bro wabongo kuunda gari hawezi, ila kuyabandika majina ni wako noma...[emoji848][emoji848]. Inasemekana waunda magari wanatumia hela nyingi sana kutafutia majina magari wanayounda, hawajastukia kwamba wabongo hii fani ya kupachika majina ndio lake..Unaweza kupata pia
Jr[emoji769]
Siku ukiendesha hii si utapaa maanake hata ukiwa 200kph hujuiView attachment 1048064
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bro wabongo kuunda gari hawezi, ila kuyabandika majina ni wako noma...[emoji848][emoji848]. Inasemekana waunda magari wanatumia hela nyingi sana kutafutia majina magari wanayounda, hawajastukia kwamba wabongo hii fani ya kupachika majina ndio lake..
We fikiria mara paaaap, unakuta nembo ya gari ni tako la gendaheka, halafu jina la gari tako la nyani..[emoji125][emoji125][emoji125][emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
In short bongo watu wananunua gari kwa upepo, sahivi Mark X imeisha, uelekeo ni Crown, Harrier, Prado na IST. Kila mtu anaeagiza gari analenga humo! Mwanzo ilikuwa Vits na Raum kabla ya upepo kuhamia IST!Kiuhalisia Harrier haina starehe yoyote ile ukitaka starehe inabidi ununue Lexus RX 330 hio ndo luxury version ya harrier ila harrier imependwa na watu wengi sababu Tanzania watu tunaishi kwa kuigana sana mfano wa gari zikizowahi kupendwa Tanzania ni GX ,100, GX110, Mark X, Altezza sasa hivi Crown zimevamiwa sana
2jz ni 3000cc mzee babaKwa wazoefu tunaweza kupanga vipi ulaji wa mafuta wa gari hizi kuanzia linalokula sana hadi la nafuu
1. Verossa 1G cc 1980
2. Veross 1JZ/2JZ cc 2500
3. Brevis cc 2500 na cc 3000(1JZ/2JZ)-D4
4. Mark X cc 2500 na 3000
5. Crown Athlete na Crown Royal Saloon cv 2500 na 3000.
Please kwa wajuzi watuambie na ukiondoa Athlete,Mark X huwa na shida gani? Naona kama gari iko poa sana. Mwenye ujuzi atujuze
Sent using Jamii Forums mobile app
ilibidi wajapani wawape nomenclature department kwa ajili ya gari zao! Maana kuna gari inaitwa kitchen party[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Binafsi Huwa Nalikubali sana Vanguard aisee acha Kabisa....limekaa kaa kama Gaidi Fulani....hata Uniwekee Harrier na Vanguard halafu uweke Hela Kwenye Harrier ntachagua Vanguard.View attachment 1047833
Sent using Jamii Forums mobile app
kama hujui kitu kausha babuu!HYBRID MAANA YAKE INA MTUNGI WA GESI HAITUMII MAFUTA INATUMIA GESI
IST imekaza lakini mwaka wa nne sasa na ushee kampiku Carina TiIn short bongo watu wananunua gari kwa upepo, sahivi Mark X imeisha, uelekeo ni Crown, Harrier, Prado na IST. Kila mtu anaeagiza gari analenga humo! Mwanzo ilikuwa Vits na Raum kabla ya upepo kuhamia IST!
Dah naona hii demand kubwa sana... Haya pozeni kiu yenuView attachment 1048251Mshana Jr Mkuu picha tafadhali ya Tako la nyani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji2093][emoji2093][emoji2093][emoji2093][emoji2093]
Hahha..mkuu una ka ist niniHyo sehem ambayo inaruhusu kupark ist 20 ni wapi