Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Nakaa Arusha...hiyo njia napita sana Dingii kwasafari za mara kwa mara za Dar...sometimes kwa bus au nikidrive mwenyeweMwambie huyo, hajawahi pita hiyo njia labda, mimi ilo eneo nilimaliza speed zote 180 na gx100 chaser
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Unambishia mwenye BMW kufikisha 200kph unasifia GX110 kufikisha 180kph! SMH
Hutafika speed hixo kwa zile toy za Toyota ila labda kwa magari halisi kama Subaru, BMW, na mengineyo..Hajui tuu huyo, hata kipande kutoka m'buyuni hadi africana njia ya tegeta unajikuta uko 150kph
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole mkuu naona unajitahidi kuziponda Toyota, ila ukweli utabaki kileleni,Utafika speed hixo kwa zile toy za Toyota ila si kwa magari halisi kama Subaru, BMW, na mengineyo..
Magari mengi ya Toyota yanadanganya kwenye speed hasa ukishafika above 100/kph...utakuta toyota ipo 160 subaru 140 lakini toyota inaachwa na subaru....kama mjadala ni speed zungumzieni magari mengine ila msiweke humo huzo toy za toyota
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupita hapo kila siku ni jambo lingine na kumudu kuendesha gari speed kubwa ni jambo lingine, hata madereva wa mabasi wanapita hizo njia kila day ila kuna dereva mwenye gari mpya tena scania hawezi kukimbiza basi namba c higer au youtong.Nakaa Arusha...hiyo njia napita sana Dingii kwasafari za mara kwa mara za Dar...sometimes kwa bus au nikidrive mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Discussion hii ipo humu haikuwahi kupata suluhisho. Kwahio unasema BMW haifiki 200kph au sijakuelewa?Utafika speed hixo kwa zile toy za Toyota ila si kwa magari halisi kama Subaru, BMW, na mengineyo..
Magari mengi ya Toyota yanadanganya kwenye speed hasa ukishafika above 100/kph...utakuta toyota ipo 160 subaru 140 lakini toyota inaachwa na subaru....kama mjadala ni speed zungumzieni magari mengine ila msiweke humo huzo toy za toyota
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo letu kubwa ni kwamba kitu ambacho hatujawahi kuona tunasema hakipo.Hajui tuu huyo, hata kipande kutoka m'buyuni hadi africana njia ya tegeta unajikuta uko 150kph
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa atakuwa anatembea na tochi yake kupima magari anayoyapita.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole mkuu naona unajitahidi kuziponda Toyota, ila ukweli utabaki kileleni,
Sijui ulitumia njia gani kupima hizo overtake ya 140/kph kupita yenye 160/kph
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanabisha humu, saa ingine hata hajawahi kuendesha gari, basi tu wana asili ya ubishi.Tatizo letu kubwa ni kwamba kitu ambacho hatujawahi kuona tunasema hakipo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa atakuwa anatembea na tochi yake kupima magari anayoyapita.
Discussion imehamia kwenye speedometer za Toyota hazisemi ukweli.Kuna watu wanabisha humu, saa ingine hata hajawahi kuendesha gari, basi tu wana asili ya ubishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilikuuliza kuhusu BMW 5 SERIES F10 520i ya mwaka 2013 ukazingua kishenzi.BMW exclusively the beast... Not for everybody [emoji848][emoji848][emoji144]
Jr[emoji769]
Ha ha haMkuu nilikuuliza kuhusu BMW 5 SERIES F10 520i ya mwaka 2013 ukazingua kishenzi.
Anyway, vp zinafaa kibongo bongo ama tustick na 3 ??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wamekosa hoja haoDiscussion imehamia kwenye speedometer za Toyota hazisemi ukweli.
Mkuu vp mbona unacheka funguka basi maujuzi hayo?Ha ha ha
Kwa mtu aliendesha gari atanielewa. GX100/110....Mark X,Crown unaendesha mpaka unajiambia hii gari imenyimwa top speed maanake muda mfupi tu mshale umelala....ila brakes na handling yake kulinganisha na European counterparts ndio unaelewa kwanini wamezi-limit at 180kph
Siwezi kuacha. Ila nacheka kwasababu umeanza kuniuliza A4,Mk5,Mk6, ukahamia BMW by now nilidhani ushamunuaMkuu vp mbona unacheka funguka basi maujuzi hayo?
Au hutaki upate mteja wa spea au umeacha kuuza spea?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole mzee baba kwa kuzinguliwa...Mkuu nilikuuliza kuhusu BMW 5 SERIES F10 520i ya mwaka 2013 ukazingua kishenzi.
Anyway, vp zinafaa kibongo bongo ama tustick na 3 ??
Hapana kuna watu walinijambia Mkuu ndo mana mipango bado ila saivi kama kawa nimekuja na comeback ya hatari sio kwnye levo za Mk, B7 tena!.Siwezi kuacha. Ila nacheka kwasababu umeanza kuniuliza A4,Mk5,Mk6, ukahamia BMW by now nilidhani ushamunua
Kwa kuongezea,Kwa mtu aliendesha gari atanielewa. GX100/110....Mark X,Crown unaendesha mpaka unajiambia hii gari imenyimwa top speed maanake muda mfupi tu mshale umelala....ila brakes na handling yake kulinganisha na European counterparts ndio unaelewa kwanini wamezi-limit at 180kph