Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Hajui tuu huyo, hata kipande kutoka m'buyuni hadi africana njia ya tegeta unajikuta uko 150kph

Sent using Jamii Forums mobile app
Hutafika speed hixo kwa zile toy za Toyota ila labda kwa magari halisi kama Subaru, BMW, na mengineyo..
Magari mengi ya Toyota yanadanganya kwenye speed hasa ukishafika above 100/kph...utakuta toyota ipo 160 subaru 140 lakini toyota inaachwa na subaru....kama mjadala ni speed zungumzieni magari mengine ila msiweke humo huzo toy za toyota

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utafika speed hixo kwa zile toy za Toyota ila si kwa magari halisi kama Subaru, BMW, na mengineyo..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole mkuu naona unajitahidi kuziponda Toyota, ila ukweli utabaki kileleni,
Sijui ulitumia njia gani kupima hizo overtake ya 140/kph kupita yenye 160/kph

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakaa Arusha...hiyo njia napita sana Dingii kwasafari za mara kwa mara za Dar...sometimes kwa bus au nikidrive mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupita hapo kila siku ni jambo lingine na kumudu kuendesha gari speed kubwa ni jambo lingine, hata madereva wa mabasi wanapita hizo njia kila day ila kuna dereva mwenye gari mpya tena scania hawezi kukimbiza basi namba c higer au youtong.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utafika speed hixo kwa zile toy za Toyota ila si kwa magari halisi kama Subaru, BMW, na mengineyo..
Magari mengi ya Toyota yanadanganya kwenye speed hasa ukishafika above 100/kph...utakuta toyota ipo 160 subaru 140 lakini toyota inaachwa na subaru....kama mjadala ni speed zungumzieni magari mengine ila msiweke humo huzo toy za toyota

Sent using Jamii Forums mobile app
Discussion hii ipo humu haikuwahi kupata suluhisho. Kwahio unasema BMW haifiki 200kph au sijakuelewa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wamekosa hoja hao

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtu aliendesha gari atanielewa. GX100/110....Mark X,Crown unaendesha mpaka unajiambia hii gari imenyimwa top speed maanake muda mfupi tu mshale umelala....ila brakes na handling yake kulinganisha na European counterparts ndio unaelewa kwanini wamezi-limit at 180kph
 
Mkuu nilikuuliza kuhusu BMW 5 SERIES F10 520i ya mwaka 2013 ukazingua kishenzi.

Anyway, vp zinafaa kibongo bongo ama tustick na 3 ??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole mzee baba kwa kuzinguliwa...
Binafsi ni kuambie dunia ya sasa ya utandawazi hakuna chochote kinachozingua kama una hela....
Ila kama huna hela hata vitz old model utaiona ni jini.....Wengi wanahofia spea za hayo magari.
Kama umejipanga vuta chombo....
Watanzania tuna mentality moja mbaya sana na inatudumaza...
Inashangaza mtu anaingia mtandaoni anaagiza gari kwa milioni za hela....ikizingua spea ya laki tano ikakosekana madukana...akili inaziba katika suala la kuagiza..
Sijui tunakwama wapi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi kuacha. Ila nacheka kwasababu umeanza kuniuliza A4,Mk5,Mk6, ukahamia BMW by now nilidhani ushamunua
Hapana kuna watu walinijambia Mkuu ndo mana mipango bado ila saivi kama kawa nimekuja na comeback ya hatari sio kwnye levo za Mk, B7 tena!.

saivi tuongee kuhusu F10.....we kama mtaalam wa hizi kazi ukinipa "Technical Go Ahead" nitashukuru sana.
Pia in comparison, unaruhusiwa kuongea kuhusu F30 mwaka uleule sishuki chini ya 2k13!

Stock location ni Singapore!

Karibu!
 
Kwa mtu aliendesha gari atanielewa. GX100/110....Mark X,Crown unaendesha mpaka unajiambia hii gari imenyimwa top speed maanake muda mfupi tu mshale umelala....ila brakes na handling yake kulinganisha na European counterparts ndio unaelewa kwanini wamezi-limit at 180kph
Kwa kuongezea,
Pia hizi gari za toyota ni nyepesi kwa muundo wa material zake, nahis ndio sababu ya kuweka speed limit ndogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom