Harrier unaweza kushare vitu na Lexus. Kimsingi ni gari hilo hilo.Tofauti kabisa mark X ni engine kubwa 2.5- 3000 tofauti kabisa na harrier
Jr[emoji769]
Mkuu usiendekeze sana mambo ya jinsia wakati mwingine hayanaga tija sana unaweza kosa vitu vzr kwasababu hy, kuna nchi moja niliwahi dhuru ulaya, wanawake ndy wanaongoza kwa kuendesha magari makali aina ya SUV, kumuona binti au mwanamama mremboooo katulia kwenye Audi Q7, au INFINITY QX30 au QX 80, au Range rover, Porse, Mercedes ML5000 nk ni kitu cha kawaida sana....ushauri wangu usijiwekee sana mipaka isiyokuwa na lazima kwa vitu na mmb ya ndoto yako.Tako la nyani ni gari nzuri sana
ila nililikwepa kwa sababu limependwa SANA wanawake.
Harrier Inatumia muda gani kufika 100kph?Vita kupata hio 180kph ni majaliwa, lakini Harrier,Crown,GX100,110, Brevis dakika chache tu mshale umelala.
Uwezo wa hizi gari kufika maximum speed nsio unafanya watu waseme zinaspeed.
Najua kiongozi. Ilikuwa mwendelezo wa suala la Honda. Alisena zinakimbia sana na bei rahisi. Nikamuuliza upatikanaji wa vipuri.H
Harrier ni Toyota mkuu!
Mbona mshana anasema halinywi wese..nn kimekushinda mkuuMkuu, nimenunua hii kitu kwa mtu miezi sita iliyopita ikanishinda nikauza niliyemuuzia kapiga mzinga maeneo ya senkenke kwa mbele mwezi uliopita, nilipata mshituko sana nikahisi kama ilikuwa inanitafuta.
.....
Ila jamaa mzima
Ndiyo mkuu
Nilimtumishia misuli na kiberiti changu hakufua dafu.
Kuna jamaa mmoja wa comoro alikuwa anauza yake Milion 10 nikaja nikakutana na mzungu mmoja anauza yake anatafuta hela ya kuondoka kwao milion 6..... Hii gari kwa speed ndiyo mahali pake
Hii ngoma inatembea mzee... Vx ikikaa kizembe naipiga kijiko...Ivi mnaposema hii gari ina speed mnazungumzia nini? Ile 180K/h ama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania gari zina gender. Nakumbuka Wakati ule wa Kitchen Party. Zilikuwa bei rahisi mno. Kimbembe ilikuwa vipuri. Zilitumika sana kuhonga michepuko. Leo ukiiona barabarani katambike.Mkuu usiendekeze sana mambo ya jinsia wakati mwingine hayanaga tija sana unaweza kosa vitu vzr kwasababu hy, kuna nchi moja niliwahi dhuru ulaya, wanawake ndy wanaongoza kwa kuendesha magari makali aina ya SUV, kumuona binti au mwanamama mremboooo katulia kwenye Audi Q7, au INFINITY QX30 au QX 80, au Range rover, Porse, Mercedes ML5000 nk ni kitu cha kawaida sana....ushauri wangu usijiwekee sana mipaka isiyokuwa na lazima kwa vitu na mmb ya ndoto yako.
Hyo speed ata Duet anayo mkuu. Sio harrier tuHii ngoma inatembea mzee... Vx ikikaa kizembe naipiga kijiko...
Pole sana..ukafasolve vpHaukusumbui? Yani mkuu nilioinunua kwa mtu sijui iligusa maji control yake ikawa inajipiga stata yenyewe nikaona hapa kuna siku nitakuta imekanyaga vichwa watoto
Control engine ilipata shida likawa linajipiga starter lenyewe mkuu, lingenikanyaga watoto naishi mazingira yenye watoto wadogo wengi mnoMbona mshana anasema halinywi wese..nn kimekushinda mkuu
Body karatasi..ukipata mzinga..itabd umuite fundi viatu akushoneeBinafsi Huwa Nalikubali sana Vanguard aisee acha Kabisa....limekaa kaa kama Gaidi Fulani....hata Uniwekee Harrier na Vanguard halafu uweke Hela Kwenye Harrier ntachagua Vanguard.View attachment 1047833
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndy kwanza naskia kwako......"Tanzania gari zina gender"Tanzania gari zina gender. Nakumbuka Wakati ule wa Kitchen Party. Zilikuwa bei rahisi mno. Kimbembe ilikuwa vipuri. Zilitumika sana kuhonga michepuko. Leo ukiiona barabarani katambike.
Daa hatari tutaishia kuona kwa macho maisha haya hayana usawa.bei yake hapo mkuu sasa.Ndiyo mkuu