Sweya Makungu
JF-Expert Member
- Jun 11, 2023
- 508
- 601
Maoni yangu kwenye tume ya haki jinai juu ya Takukuru
Tumekuwa tukishuhudia ziara za Viongozi wakubwa, mawaziri au wakuu wa mikoa wakiibua madudu ktk miradi ya serikali na kuagiza Takukuru wafanye uchunguzi!!
Swali langu :
Hivi kwanini Takukuru hawafanyi kuchunguza jambo mpk wapewe maagizo ?
Ina maana bila kupewa maagizo wao wanakuwa kazi yao ni nn? Kwann wasiwe na interijensia yao maalumu ya kubaini madudu kabla hata hawajapewa maagizo !!!
Takukuru waajiri/ wawe na interigency persons( watu wa interijensia-wapelelezi wa Siri) ktk kila idara ili wazitafute taarifa wao wenyewe na kuzifanyia kazi na siyo mpk kusubiri kuletewa au kupewa maagizo..
Yaani Takukuru ipo ndani ya mkoa lkn wanasubiri mpk kiongozi atoke wizarani dodoma aje agundue madudu halafu awape maagizo ya kuchunguza jambo ambalo wapo nalo hapo mkoani Kila siku!!!
Mwl. Makungu m.s
0743781910