Maoni Yangu Kwenye Tume ya Haki Jinai Juu ya Takukuru

Maoni Yangu Kwenye Tume ya Haki Jinai Juu ya Takukuru

Takukuru waajiri/ wawe na intelligence persons( watu wa intelijensia-wapelelezi wa Siri) ktk kila idara ili wazitafute taarifa wao wenyewe na kuzifanyia kazi na siyo mpk kusubiri kuletewa au kupewa maagizo..
Da, kwani hiyo kuletewa maagizo na wakubwa, hao wakubwa wanapataje? kama sio hao hao (intellegensia) wanawapatia. Utasikia kiongozi wa mwenge kagundua madudu kamshauri rais achukua hatua. Ni hao hao wanatuchezea akiri ili tuone kuna uwajibikaji. Ni mpaka kiongozi apite ndio wanawajibika, vinginevyo kama kawaida, Sijui kama kuna tija ktk mfumo huu wa ccm
 
Da, kwani hiyo kuletewa maagizo na wakubwa, hao wakubwa wanapataje? kama sio hao hao wanawapatia. Utasikia kiongozi wa mwenge kagundua madudu kamshauri rais achukua hatua. Ni hao hao wanatuchezea akiri ili tuone kuna uwajibikaji. Sijui kama kuna tija ktk mfumo huu wa ccm
Duuuuu
 
Haya jiulize tu intellegensia hii itaweza kukamata matrafiki wanaochukua rushwa wazi wazi barabarani?
Kingine utaperi wa mtandao, wanatuhimiza tutume namba za mataperi, nimetuma sana; sijaona feedback yoyote hapa Tz kwamba kuna taperi wa kimtandao kakamatwa!
Intelligensia zao zinafanya sana kazi kufuatilia vyama vya upinzani na kulinda wanaofaidi keki ya taifa, zaidi ya hapo sijasikia jipya lolote. Nipo pale naangalia mchezo huu.
 
Hatari Sana mkuu
 
Back
Top Bottom