Sweya Makungu
JF-Expert Member
- Jun 11, 2023
- 508
- 601
- Thread starter
- #21
Just spelling typing errosinterigency ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Just spelling typing errosinterigency ni nini?
Wao wamekwambia hawana Intel mkuu?Just spelling typing erros
Duuu mzee siyo poani ngumu kufanikiwa kwa lolote chini ya CCM
Kama wanayo Basi imefeli Sana. Lkn ninavyojua hawana . Maana yaani huku kwenye idara ,we acha tu.... Tunajua wenyeweWao wamekwambia hawana Intel mkuu?
ni ngumu kufanikiwa kwa lolote chini ya CCM
Kwenye idara ni kupokea zigo lote la Intel then kuchambua ili ni hili jambo ambalo ni simple sasa kudili na viini vya Makosa yaliyobainika ni ishu nyingine kifupi nadili na sheria ukimpeleka mtuhumiwa Mahakamani bila kuwa na evidence ni mziki ndg, endelea kuwashauri PCCB kupitia kwa Mh.Rais maana wao pia wana magumu yao siyo malaikaKama wanayo Basi imefeli Sana. Lkn ninavyojua hawana . Maana yaani huku kwenye idara ,we acha tu.... Tunajua wenyewe
Ahsante sana mkuu. Upo sawa hakika...Kwenye idara ni kupokea zigo lote la Intel then kuchambua ili ni ili jambo ambalo ni simple sasa kudili na viini vya Manisa yaliyobainika ni ishu nyingine kifupi nadili na sheria ukimpeleka mtuhumiwa Vila kuwa na evidence ni mziki ndg, endelea kuwashauri PCCB kupitia kwa Mh.Raid maana wao pia wana magumu Tao siyo malaika
Idara nayo imefeli zaidi ya PCCB coz Kama wanatakiwa kunusa na kumpa mraji kwanini wananusa na kula? Intel za CCM tu kujua nani anagombea udiwani ndo wanachojua umbea umbea tu no evidence tulia hivyo hiyvo mkuuKama wanayo Basi imefeli Sana. Lkn ninavyojua hawana . Maana yaani huku kwenye idara ,we acha tu.... Tunajua wenyewe
Takukuru waajiri/ wawe na intelligence persons( watu wa intelijensia-wapelelezi wa Siri) ktk kila idara ili wazitafute taarifa wao wenyewe na kuzifanyia kazi na siyo mpk kusubiri kuletewa au kupewa maagizo..
Kwani ktk ofisi za idara si kuna watu wa TISS, kwanini wasipeleke taarifa takukuru au polisi.Takukuru waajiri/ wawe na intelligence persons( watu wa intelijensia-wapelelezi wa Siri) ktk kila idara ili wazitafute taarifa wao wenyewe na kuzifanyia kazi na siyo mpk kusubiri kuletewa au kupewa maagizo..
HahahahaahaIdara nayo imefeli zaidi ya PCCB coz Kama wanatakiwa kunusa na kumpa mraji kwanini wananusa na kula? Intel za CCM tu kujua nani anagombea udiwani ndo wanachojua umbea umbea tu no evidence tulia hivyo hiyvo mkuu
Ulitolewa muda wa kutoa maoni ktk tume ya Haki jinai namba 0765010229Kwani ktk ofisi za idara si kuna watu wa TISS, kwanini wasipeleke taarifa takukuru au polisi.
Pia niambie uliwafikiaje hadi ukawapa ushauri ili namimi nikawape?
Na umejuaje kama ushauri wako umetekelezwa?
Tulitoa maoni juu ya vyombo vyote vinavyojihusisha na jinai na utoaji hakiKwani ktk ofisi za idara si kuna watu wa TISS, kwanini wasipeleke taarifa takukuru au polisi.
Pia niambie uliwafikiaje hadi ukawapa ushauri ili namimi nikawape?
Na umejuaje kama ushauri wako umetekelezwa?
Bila shaka Jana serikali imetangaza kuajiri watu 800 kuwasambaza kila wilaya kuisaidia takukuruKwani ktk ofisi za idara si kuna watu wa TISS, kwanini wasipeleke taarifa takukuru au polisi.
Pia niambie uliwafikiaje hadi ukawapa ushauri ili namimi nikawape?
Na umejuaje kama ushauri wako umetekelezwa?
Kwamba hao watu watakuwa wa juzi zaidi ya hawa waliopo tunaokula nao ugali tembele kitaa? Siasa mbaya Sana mkuu Kama umemsikia Mh akiwa anafunga hotuba yake Leo pale Arusha kasema kuwa wanasiasa, Polisi na baadhi ya idara zimetuhumiwa kwa vitendo vya rushwa sasa kashauri watuhumiwa waende kupigwa mdada namna ya kupambana na rushwa kwenye mataifa yaliyo mbele huko kwa mapambano na si kuwa PCCB wawe kipaumbele kwenda kujifunza zaidi. Hii ni chengaBila shaka Jana serikali imetangaza kuajiri watu 800 kuwasambaza kila wilaya kuisaidia takukuru
Hahahaahhaah hatari SanaKwamba hao watu watakuwa wa juzi zaidi ya hawa waliopo tunaokula nao ugali tembele kitaa? Siasa mbaya Sana mkuu Kama umemsikia Mh akiwa anafunga hotuba yake Leo pale Arusha kasema kuwa wanasiasa, Polisi na baadhi ya idara zimetuhumiwa kwa vitendo vya rushwa sasa kashauri watuhumiwa waende kupigwa mdada namna ya kupambana na rushwa kwenye mataifa yaliyo mbele huko kwa mapambano na si kuwa PCCB wawe kipaumbele kwenda kujifunza zaidi. Hii ni chenga
Humu kuna wanaojulikana na wasiojulikana pia wapo,Ni Kweli kabisa ndugu yangu. Tunaposhauri humu maoni yetu yanaonwa na wengi .. Na mengi yanafanyiwa utekelezaji..
Ubarikiwe Sana ndugu
Umesema sahihi kbsHumu kuna wanaojulikana na wasiojulikana pia wapo,
Tuwe makini Sana na kila comment na post zetu.
Siyo kwamba ilitokea kwa coincidence?JF ndy mtandao unaofatiliwa Sana na watu mbalimbali inchini na nje ya inchi.
Nimejifunza kuwa mtulivu na kuwa makini kwa kila ninacho comment na kupost humu.
Week iliyopo Kuna mtu alileta bandiko la malalamiko kuhusu taa za mbezi mwisho stand kwamba haziwaki kwa siku kadhaa.
na giza limetawala pale stand.
Ajabu nii taa kutengenezwa siku moja baada ya lile bandiko kuletwa humu..
Kwa sasa taa zote zinafanya kazi.