Huyo wa Kulia ndio Tiganga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo wa Kulia ndio Tiganga?
Nchi ilikua inaendeshwa kama familia yake .
Katiba inaruhusu hilo kumbuka..hapo.nakupinga.
..yule alikuwa anatuburuza utadhani sisi ni mifugo yake.
Mkuu sikumbuki na sijui, hebu fungua mlango tuone ndani...hv mnakumbuka profesa j na notice book alivyoibua?nn kilimpata mpaka kuugua
Ndo kusema tumetekwa ila hatujijui?. I HATE socialism/communism!Tatizo hamuamini kwamba ccm hii siyo ya watanzania tena.