Maoni yangu: Mradi wa Mabasi ya mwendokasi apewe mtu Binafsi

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Mimi nadhan huu mradi wa magari ya haraka serikali imeshindwa kuufanya uwe msaada wa wanainchi ambao wanatumia usafiri huu

Usafiri umekuwa wa kero na shida nyingi Sana hasa kuanzia muda wa Saa nane za mchana mpaka saa mbili usiku

Wasafiri wengi wanaachwa wakiwa wapenga folen ndefu Sana na magari yakiwa yamepaki Tu pembeni

Sijui viongozi wanapata Raha gani au furaha gani kuona watu wakiwa wamejaa na gari linapokuja wanaminyana kama magunia ya chumvi

Why kusiwe na magari mengi ambayo yanapakia watu na kwenda na kurudi Kwa haraka kuliko kuacha Abiria wafike 200 then linakuja gari la kubeba Abiria 80 Tu?

Your browser is not able to display this video.

 
Sizani kama ni za serikali
Maana pale kuna dart na udart
 
Huu mradi umekuwa jipu sugu. Ufanisi wa huu mradi ni sifuri kabisa.
 
Samahani mkuu....
Hayo mabasi ya mbio kasi yanaelekea mikoa gani kutokea hapo Ubungo stendi...🤔🤨
 
Mimj hata sishangai,ningeshangaa kama huo mradi ungekuwa unafanya kazi vizuri..CCM Oyeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…