Maoni yangu: Tundu Lissu agombee uenyekiti wa CHADEMA taifa

Seif al Islam

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
2,156
Reaction score
639
Kwakweli nimekaa na kutafakari kwa kina juu ya nani hasa anayeweza kufaa kuchukua nafasi ya Mbowe ya uenyekiti wa CHADEMA taifa na kujiridhisha kuwa ndugu Tundu Lissu anaweza sana kuitwaa nafasi hiyo na kukiongoza chama kwa mafanikio zaidi kuelekea 2015.

kimsingi Vigezo muhimu nilichotumia ni

1.umahiri wa ndugu Lissu awapo bungeni na hata nje ya bunge katika kujenga hoja na kuisimamia.

2. Pia Lissu sijasikia akitajwa kwenye yanayodaiwa kuwa makundi ya wanaodaiwa kuusaka urais ndani ya cdm na hata nje ya cdm.

3.ana msismamo usioyumba wala kutikiswa na nguvu ya fedha wala umaarufu wa bandia.

4.hatoki pia kanda ya kaskazini hivyo atawazima wale wachache wanaobeba hoja mufilisi ya ukanda ndani ya cdm

5.atasaidia kuiinua CHADEMA katika kanda ya kati yaani mikoa ya singida,dodoma na manyara kwa kuleta hamasa

6.sio mtu mwenye ndimi mbili katika jambo moja.

Hizi ni baadhi tuu ya sifa chache nilizoziona kwa ndugu huyu mabazo kwakweli pamoja na nyingine nyingi nimeshawishika na kuamini kuwa anaweza kuiongoza CHADEMA kwa mafanikio makubwa.

Naomba maoni yenu
 
Ahsante sana kwa mapendekezo mkuu, ni vema ungeainisha na udhaifuwa huyu wa sasa na kwa nini asiendelee kuwa mwenyekiti!??
 
Hili nalo neno!cna maana kama ya fastjet!
 
ahsante sana kwa mapendekezo mkuu, ni vema ungeainisha na udhaifuwa huyu wa sasa na kwa nini asiendelee kuwa mwenyekiti!??
anao udhaifu mwingi kama binadamu lakini kikubwa ni kwamba kwa kinywa chake mwenyewe amesema hatogombea tena uenyekiti.namkubali sana mbowe na kama akibadili wazo na kugombea nitafurahi kama hatagombea lissu ni chaguo langu.
 
Agombee au apewe? Kwani kwenye nafasi ya Mwenyekiti kuna uchaguzi au uteuzi?
 
* kwa LISU , ongezea taaluma yake na uelewa wa mambo ya KISHERIA yanahitajika sana kwa yeye kuwa chairman.Namkubali sana. Wasije kujiloga wakampa mzee wa ndimi 2 ZZK.alishaonyesha kupungukiwa uvumilivu na subira za kiuongozi, ni dhaifu wa team work spirit, ana damu ya kupenda political millage kiubinafsi.
 
Kwakweli nimekaa na kutafakari kwa kina juu ya nani hasa anayeweza kufaa kuchukua nafasi ya Mbowe ya uenyekiti wa CHADEMA taifa na kujiridhisha kuwa ndugu Tundu Lissu anaweza sana kuitwaa nafasi hiyo na kukiongoza chama kwa mafanikio zaidi kuelekea 2015.

kimsingi Vigezo muhimu nilichotumia ni

1.umahiri wa ndugu Lissu awapo bungeni na hata nje ya bunge katika kujenga hoja na kuisimamia.

2. Pia Lissu sijasikia akitajwa kwenye yanayodaiwa kuwa makundi ya wanaodaiwa kuusaka urais ndani ya cdm na hata nje ya cdm.

3.ana msismamo usioyumba wala kutikiswa na nguvu ya fedha wala umaarufu wa bandia.

4.hatoki pia kanda ya kaskazini hivyo atawazima wale wachache wanaobeba hoja mufilisi ya ukanda ndani ya cdm

5.atasaidia kuiinua CHADEMA katika kanda ya kati yaani mikoa ya singida,dodoma na manyara kwa kuleta hamasa

6.sio mtu mwenye ndimi mbili katika jambo moja.

Hizi ni baadhi tuu ya sifa chache nilizoziona kwa ndugu huyu mabazo kwakweli pamoja na nyingine nyingi nimeshawishika na kuamini kuwa anaweza kuiongoza CHADEMA kwa mafanikio makubwa.

Naomba maoni yenu

Sawa mawazo yako ni mazuri ni vizuri ukamshauri. LAKINI kwa qualities zote hizo ni lazima mtu AWE MWENYEKITI?
 
Sifa nyingne sio mshirikina kama ZZK;;,;:... refer kai yake juu ya kuua hadi panya
 
Nilijua tu mada hii ni kutaka tu kumchafua ZITTO, siasa feki hizo, usipende sana kuongelea watu, ongelea mambo ya msingi.
 
Yaani MA-CCM yananzisha sred, Na kuipamba yenyewe.. Ajab..
 
Kwakweli nimekaa na kutafakari kwa kina juu ya nani hasa anayeweza kufaa kuchukua nafasi ya Mbowe ya uenyekiti wa CHADEMA taifa na kujiridhisha kuwa ndugu Tundu Lissu anaweza sana kuitwaa nafasi hiyo na kukiongoza chama kwa mafanikio zaidi kuelekea 2015.

kimsingi Vigezo muhimu nilichotumia ni

1.umahiri wa ndugu Lissu awapo bungeni na hata nje ya bunge katika kujenga hoja na kuisimamia.

2. Pia Lissu sijasikia akitajwa kwenye yanayodaiwa kuwa makundi ya wanaodaiwa kuusaka urais ndani ya cdm na hata nje ya cdm.

3.ana msismamo usioyumba wala kutikiswa na nguvu ya fedha wala umaarufu wa bandia.

4.hatoki pia kanda ya kaskazini hivyo atawazima wale wachache wanaobeba hoja mufilisi ya ukanda ndani ya cdm

5.atasaidia kuiinua CHADEMA katika kanda ya kati yaani mikoa ya singida,dodoma na manyara kwa kuleta hamasa

6.sio mtu mwenye ndimi mbili katika jambo moja.

Hizi ni baadhi tuu ya sifa chache nilizoziona kwa ndugu huyu mabazo kwakweli pamoja na nyingine nyingi nimeshawishika na kuamini kuwa anaweza kuiongoza CHADEMA kwa mafanikio makubwa.

Naomba maoni yenu
unaufahamu udhaifu wake? if yes tujuze ili tuweze kwenda sambamba.
 
Yaani MA-CCM yananzisha sred, Na kuipamba yenyewe.. Ajab..
Mleta mada siyo CCM mkuu bali ni CDM anaunga mkono kundi la MBOWE na SLAA na kupinga kundi la ZITTO KABWE.
 
anao udhaifu mwingi kama binadamu lakini kikubwa ni kwamba kwa kinywa chake mwenyewe amesema hatogombea tena uenyekiti.namkubali sana mbowe na kama akibadili wazo na kugombea nitafurahi kama hatagombea lissu ni chaguo langu.

Anataka kugombea urais nini? CV inamruhusu?
 
Nilijua tu mada hii ni kutaka tu kumchafua ZITTO, siasa feki hizo, usipende sana kuongelea watu, ongelea mambo ya msingi.
stop being cynical.those are his ideas and they should never neccesarilly favor that guy of yours.
 
Back
Top Bottom