Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
naunga mkono hoja, kuuguza inahitaji moyo, hasa mgonjwa asiejiweza, ... vyoo vya kukaa ni muhimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kucopy ukampestie aone Dada yetu shupavu anawezaNi ajabu wanajenga vyoo aina moja.Aisee umeongea jambo muhimu .
Karibu kumfuata Ummy huko Twitter Ili hili limfikie.
Na Matikiti yalivyo matamu nabeba yote sipati picha wewe huko una maboga mangapi?Tazama dudu hili lina kichwa kwa ajili ya kubebea matikiti
Wazo zuri,tatizo hivyo vyoo kama havitunzwi vizuri ni njia mojawapo ya kuambukizana magonjwa. Utakuta hosp nyingi maji ni shida sana na usafi ni habaNi kama vile hayana umhimu vile lakini usiombe!
Serikali ikiwapendeza yawekeni kwenye utaratibu!
Kama hujawahi kuuguliwa au kuuguza huwezi kunielewa kirahisi!
Iko hivi mwaka Jana wakati nikiuguza mzee wangu kabla hajatwaliwa! Yapo mambo yaliniumiza sana!
Ni vigumu kuyaelezea yote hapa!
Lakini naomba kusemea jambo moja la vyoo vya wagonjwa hospitalini!
Ukiachilia hospitals chache, asilimia kubwa ya hospitals Tanzania zinavyoo vya kuchuchumaa!
Yamkini vijana na wenye afya wanaweza chukulia hili lipo sawa!
Lakini ni changamoto kubwa sana kwa wazee na vibonge wanapokuwa kwenye hali ya kuugua, magoti hupungukiwa sana nguvu za kuweza kuchuchumaa mda mrefu!
Hivyo hali ya kujisaidia hawa watu wazima imekuwa inachangia sana homa kupanda kutokana na kushindwa kunyanyuka wakiwa chooni wanapochuchumaa
Kama mjuavyo ugonjwa huja popote ukiwa mkoa wowote! Ni vyema kukawa na sheria inayolazimisha hosipitali zote za serikali na binafsi lazima kuwepo kwa choo cha kukaa kwa wazee na wale wasiojiweza! Ili kuondoa adha na aibu kwa wagonjwa!
Ebu chukulia mfano mzazi anaeuguzwa na watoto wake wa jinsia tofauti! Akishindwa kunyanyuka chooni mtoto inabidi akamsaidie!..INAUMIZA
Hii inawaumiza sana wagonjwa kisaikolojia na huchangia sana kukata tamaa (pia huongeza hofu ya ugonjwa kwao kiasi cha kupunguza hata kinga za mwili)
Hili jambo juu juu linaonekana kama halihitaji ulazima vile! Lakini kiuhalisia linaumiza sana!
Serikali kupitia wizara ya afya naomba mliwekee sheria hili kila kituo cha afya iwe cha serikali au binafsi lazima wawe na vyoo vya kukaa! Na ukaguzi ufanyike Mara kwa Mara kama vyoo hivyo vinatumika!
Kukua ni kuzeeka!
Tusitumie matamko! Tuweke utaratibu wa kudumu!
Good suggestionNi kama vile hayana umhimu vile lakini usiombe!

Yaani kutilia mashaka usafi wa vyoo katika kituo cha afya ni sawa na kutilisha shaka ulinzi ulinzi katika kituo cha polisi!Wazo zuri,tatizo hivyo vyoo kama havitunzwi vizuri ni njia mojawapo ya kuambukizana magonjwa. Utakuta hosp nyingi maji ni shida sana na usafi ni haba
Hilo mbona ni Swala liko ndani ya uwezo wa Incharge wa Hospitali au halmashauri aliyopo.Ni kama vile hayana umhimu vile lakini usiombe!
Serikali ikiwapendeza yawekeni kwenye utaratibu!
Kama hujawahi kuuguliwa au kuuguza huwezi kunielewa kirahisi!
Iko hivi mwaka Jana wakati nikiuguza mzee wangu kabla hajatwaliwa! Yapo mambo yaliniumiza sana!
Ni vigumu kuyaelezea yote hapa!
Lakini naomba kusemea jambo moja la vyoo vya wagonjwa hospitalini!
Ukiachilia hospitals chache, asilimia kubwa ya hospitals Tanzania zinavyoo vya kuchuchumaa!
Yamkini vijana na wenye afya wanaweza chukulia hili lipo sawa!
Lakini ni changamoto kubwa sana kwa wazee na vibonge wanapokuwa kwenye hali ya kuugua, magoti hupungukiwa sana nguvu za kuweza kuchuchumaa mda mrefu!
Hivyo hali ya kujisaidia hawa watu wazima imekuwa inachangia sana homa kupanda kutokana na kushindwa kunyanyuka wakiwa chooni wanapochuchumaa
Kama mjuavyo ugonjwa huja popote ukiwa mkoa wowote! Ni vyema kukawa na sheria inayolazimisha hosipitali zote za serikali na binafsi lazima kuwepo kwa choo cha kukaa kwa wazee na wale wasiojiweza! Ili kuondoa adha na aibu kwa wagonjwa!
Ebu chukulia mfano mzazi anaeuguzwa na watoto wake wa jinsia tofauti! Akishindwa kunyanyuka chooni mtoto inabidi akamsaidie!..INAUMIZA
Hii inawaumiza sana wagonjwa kisaikolojia na huchangia sana kukata tamaa (pia huongeza hofu ya ugonjwa kwao kiasi cha kupunguza hata kinga za mwili)
Hili jambo juu juu linaonekana kama halihitaji ulazima vile! Lakini kiuhalisia linaumiza sana!
Serikali kupitia wizara ya afya naomba mliwekee sheria hili kila kituo cha afya iwe cha serikali au binafsi lazima wawe na vyoo vya kukaa! Na ukaguzi ufanyike Mara kwa Mara kama vyoo hivyo vinatumika!
Kukua ni kuzeeka!
Tusitumie matamko! Tuweke utaratibu wa kudumu!
Wazo zuriUkiuguza ndio utajua umuhimu wa hivi vyoo vya kukaa.
Ila pia katika kuboresha, wizara inaweza ku-design vitu kama removable-plastic-casing ambavyo unaweka juu ya choo kabla ya kukaa.
Ikiwa mgonjwa anakuwa na uhitaji anapewa. Ili kupunguza ile interaction ya wagonjwa wengi kukalia choo kimoja kwa wakati huo kabla ya raundi ya usafi kufika.
Hizi removable-plastic-casing zinaweza fanyiwa usafi na ndugu wa mgonjwa mpaka pale mgonjwa atakaporuhusiwa kutoka hospitali na kuzikabidhi tena kwa wahusika.
Wazo zuri sana hili.Ukiuguza ndio utajua umuhimu wa hivi vyoo vya kukaa.
Ila pia katika kuboresha, wizara inaweza ku-design vitu kama removable-plastic-casing ambavyo unaweka juu ya choo kabla ya kukaa.
Ikiwa mgonjwa anakuwa na uhitaji anapewa. Ili kupunguza ile interaction ya wagonjwa wengi kukalia choo kimoja kwa wakati huo kabla ya raundi ya usafi kufika.
Hizi removable-plastic-casing zinaweza fanyiwa usafi na ndugu wa mgonjwa mpaka pale mgonjwa atakaporuhusiwa kutoka hospitali na kuzikabidhi tena kwa wahusika.
Jibu zuri sana, ila wakati wanajenga hizo hospitali wanapaswa kuyaangalia haya toka mwanzo na siyo kujenga ili mradi tu...Water Sanitation and Hygiene ( WASH )
Ingeanzishwa section maalum ya WASH ndani ya wizara ya Afya ili kushigulikia maswala hayohapo matatu.
Wawepo watu maalum wa sanitation na water supply and waste water management wanaoweza kubuni vyoo Bora kwaajili ya PSN ( People of Special Needs) kwa hospitali nchi nzima.
Kabisa ndiyo maana wajawazito hukojoa kama ng'ombe sometimes bila kuchuchumaaImagine mjamzito na tumbo lake kubwaaa akachuchumae mara miguu imekaza anashindwa kunyanyuka. Au mtu katoka kufanyiwa operation. Hua hosptal nyingine kuna choo cha ladies, gents na wasiojiweza i.e. walemavu. Hosptal nyingine unakuta hamna hata choo cha special needs, ni changamoto mno.
Mkuu boy kwaajili ya PSN sio unajengajenga tu, vinahutaji design na standards zake.... ni watu wakae chini waangalie uhitaji maalum wa watu mfno wenye ulemavu Kuna design zake za vyoo... so sio swala la kukurupuka tuWazo zuri lakini kwa sasa wajenge hivyo vyoo vya kukaa inchi nzima! Hospital isipewe kibali kama vyoo bora haina!
Kujenga sio ishu, ishu ni ku manage, swala mfano waste water management, sanitation, na water treatment vinahitaji ufatiliaji wa karibu sanaJibu zuri sana, ila wakati wanajenga hizo hospitali wanapaswa kuyaangalia haya toka mwanzo na siyo kujenga ili mradi tu...
Hayo mambo ya usafi hospitalini zizani kama wanaweza kushindwa! Cha mhimu viwepo!Kujenga sio ishu, ishu ni ku manage, swala mfano waste water management, sanitation, na water treatment vinahitaji ufatiliaji wa karibu sana
Rudia post ya mtoa madaHayo mambo ya usafi hospitalini zizani kama wanaweza kushindwa! Cha mhimu viwepo!
Bora hiyo ndogo kimbembe kwenye kubwa.Kabisa ndiyo maana wajawazito hukojoa kama ng'ombe sometimes bila kuchuchumaa
Vyoo vya kukaa kwa hospitali zetu wala sishauri. Tutaandaa viwanda vya maradhi sugu!Ni kama vile hayana umhimu vile lakini usiombe!