Maoni yangu ya kisomi kuhusu mabango ya Yanga

Kuondokana na sintofahamu hii iliyoketwa na mabango, uongozi wa Simba uijenge timu isipate kipigo kama hicho tena. Ikumbukwe msemaji wao Simba, kila mara amekuwa akitumia maneno na lugha ya kuidhihaki Young katika mikutano yake na wana habari. Wakereke tu hadi akili iwarudie.

MKUKI KWA NGURUWE
 
Umeeleweka dugu!
 
Kama huu ndio usomi wenyewe basi Taifa lina msiba.
 
Yanga ni timu fulani ya kiswahili sana, yani malengo yao makubwa ni kuifunga Simba.
Yani kuifunga Simba ( Club kubwa) imekua nongwa ivo? Hawa jamaa ni amateur
Kuchukuwa ubingwa Mara mbili mfululizo siyo malengo? Kufika fainali ya CAF siyo malengo?

Kuwafunga Simba 5G ndio malengo kuelekea kuchukuwa ubingwa tena.
 
Hivi kibegi chao kimeishia wapi?
 
Yanga ni weupe kwenye sheria hawajui sheria ni pana ndio maana nilikuwa nawaangalia tu kwenye mitandao wanapotapa tapa ila hapo kisheria hawatoki.
 
Yanga ni weupe kwenye sheria hawajui sheria ni pana ndio maana nilikuwa nawaangalia tu kwenye mitandao wanapotapa tapa ila hapo kisheria hawatoki.
Week sasa imeisha hakuna kesi wala tamko mnakomaa JF utadhani kuna mahakama humu
 
Bonyeza link hiyo kujiunga πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Umekata tamaa na Betting na ujui njia gan utumia kupata pesa kwajili ya kukupa Ada, KUNUNUA nguo, nakulipa Kodi ya nyumba inbox nikuunge watu wengi walio jiunga wameanza kuona faida ya kubet mtaji wa 1,000 unatosha kabisa
 
Kila jambo lina mwanzo wake, mabango yameanza baada ya mechi ya simba, halafu ndugu msomi hewa hakuna tofauti bango hilo kuwekwa kwenye billboards au kwenye platform za social media acheni ishamba
 
Kila jambo lina mwanzo wake, mabango yameanza baada ya mechi ya simba, halafu ndugu msomi hewa hakuna tofauti bango hilo kuwekwa kwenye billboards au kwenye platform za social media acheni ishamba
Kweli dunia ina maajabu. Wewe ndiyo wa kuniita mi mshamba na msomi hewa? Yani wewe huyoo?
 
Bado haujasemaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…