MAONO: Mauaji ya viongozi na ugaidi kushamiri nchi moja Afrika mashariki 2025-2030 kama kisasi kutoka kwa raia

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
kuna scenario 3 endapo protest haitafanikiwa
1.Mauaji ya polisi kushika kasi
2.Mauaji ya viongozi wa chini wa chama tawala wenye viti wa mtaa na wajumbe
3.Matukio ya kigaidi kuihujumu serikali

Kwenye Scenerio ya 1&2, kawaida human nature ya binadamu, akishindwa ku-attack wale wanaoonekana ni invincible, wataangalia alternative ya ku-attack sehem ambazo ni weak za chini Na lengo ni moja "Kutuma message"

Ni ngumu sana binadamu kukubali defeat
Ni either amwachie Mungu au achukue hatua mikononi mwake, option ya kumwachia Mungu kwa hali ilvyo asilimia zinazidi kushuka, hasa baada ya tukio la kutekwa kwa balozi fulan

Ilifika hadi muda mtu akasema chama tawala kitoke madarakani kiingie chama kingine atakama sio tunachokipenda

Leo hii nchi Hiyo jeshi , Polisi na Baadhi ya waajiriwa wa sehemu nyeti wamechoka

Ventilation ni Muhimu

Tupo

Britanicca
 
Waandamanaji wanapanga kuandamana mikono mitupu wakati wanajua wanaaenda kukabiliana na polisi walio na virungu na silaha.

Acheni ufara, kama mmeamua kuandamana kaandamaneni mkiwa mmejihami. Mnashindwa kuchonga marungu yaliyongongelewa misumari??
 
Mungu tia wepesi
Waongezee ujasiri wale wanaodai haki
 
Sure
 
Haki YANGU ya kupiga kura haitapokwa na yeyote.

NRNE 💪 🔥
 
kuna scenario 3 endapo protest haitafanikiwa
1.Mauaji ya polisi kushika kasi
2.Mauaji ya viongozi wa chini wa chama tawala wenye viti wa mtaa na wajumbe
3.Matukio ya kigaidi kuihujumu serikali

Kwenye Scenerio ya 1&2, kawaida human nature ya binadamu, akishindwa ku-attack wale wanaoonekana ni invincible, wataangalia alternative ya ku-attack sehem ambazo ni weak za chini Na lengo ni moja "Kutuma message"

Ni ngumu sana binadamu kukubali defeat
Ni either amwachie Mungu au achukue hatua mikononi mwake, option ya kumwachia Mungu kwa hali ilvyo asilimia zinazidi kushuka, hasa baada ya tukio la kutekwa kwa balozi fulan

Ilifika hadi muda mtu akasema chama tawala kitoke madarakani kiingie chama kingine atakama sio tunachokipenda

Leo hii nchi Hiyo jeshi , Polisi na Baadhi ya waajiriwa wa sehemu nyeti wamechoka

Ventilation ni Muhimu

Tupo

Britanicca
Watanzania wachache wanaoitakia nchi yetu mabaya kupitia JamiiForums, hasa britanicca, wajue kuwa Tanzania ni imara. Tarehe 29/10 tutavuka salama kwa uchaguzi wa amani, mshikamano na matumaini. Uzalendo wetu hauyumbishwi na kejeli—tunaandika historia ya utulivu na demokrasia kwa vitendo, si kwa maneno ya mtandaoni.
 
Tunaaubiri Lissu atoke gerezani ndipo tufanye uchaguzi wa haki ,huu wa maigizo,

UTAYEYUKA

NRNE 💪 🔥
 
Hili ni jambo linalotarajiwa na wengi. Huwezi kuonea, kudhulumu, kunyanyasa, kutesa, kupiga, kuteka na kuua watu; halafu usitarajie kisasi! Kuanzia Oktoba 30, wale watu wenye ujasiri kama ule wa Hamza, wataanza na wenyewe kuwawinda wabaya wao kwa ajili ya kisasi.
 
Ni wazi Tanzania itabadilika saaana baada ya 29/10 bila kujali kama uchaguzi umefanyika au la wala kujali kama maandamano yamefanyika au la.

Mjiandae kiuchumi, kiusalama, kifamilia, kijamii. Tanzania na Watanzania watabadilika sana na siyo kwa mazuri tu. Tunaingia zama tofauti kabisa ndugu zangu.
 
kuna scenario 3 endapo protest haitafanikiwa
1.Mauaji ya polisi kushika kasi
2.Mauaji ya viongozi wa chini wa chama tawala wenye viti wa mtaa na wajumbe
3.Matukio ya kigaidi kuihujumu serikali

Kwenye Scenerio ya 1&2, kawaida human nature ya binadamu, akishindwa ku-attack wale wanaoonekana ni invincible, wataangalia alternative ya ku-attack sehem ambazo ni weak za chini Na lengo ni moja "Kutuma message"

Ni ngumu sana binadamu kukubali defeat
Ni either amwachie Mungu au achukue hatua mikononi mwake, option ya kumwachia Mungu kwa hali ilvyo asilimia zinazidi kushuka, hasa baada ya tukio la kutekwa kwa balozi fulan

Ilifika hadi muda mtu akasema chama tawala kitoke madarakani kiingie chama kingine atakama sio tunachokipenda

Leo hii nchi Hiyo jeshi , Polisi na Baadhi ya waajiriwa wa sehemu nyeti wamechoka

Ventilation ni Muhimu

Tupo

Britanicca
Mbona kama unatuvunja moyo?!

Ni kama vile hili zoezi limefeli kabla ya kuanza.

Hatukukuzoea hivi.

Mtu unaezipata za ndani! Unaonyesha kukata tamaa!

So sad! 😪😪😪
 
Back
Top Bottom