Maono ya Karatasi nyeupe ya siri itakayofunguliwa 2025

Walikuwa wapi (Deep State/ Wazee wa Siri) mpaka ubinafsishaji unafanyika kiholela?



Walikuwa wapi kipindi nchi inaingia mikataba ya hovyo hovyo kila kona?

Walikuwa wapi kipindi uchaguzi unachafuliwa...tangu 2010, 2015 na 2020?


Mengi sana yamewashinda, ila kubwa kabisa wameshindwa vipi kuinfluence upatikanaji wa katiba mpya tangu 1992 mpaka sasa?
Wewe ndio unasema ila muda utakujuza
 
Kama wapo (Deep State) basi wajitathmini.

Mpaka sasa tushapigwa bao na Wazanzibari na ndo wanatutawala.

Uchumi uko mikononi mwa raia wa kigeni hasa Wahindi.

Raia wa kigeni ndo wana sauti kwenye serikali yetu, reffer to Rostam Aziz, Salim Bakhressa, Sai Seth nk kwenye utawala wa Tz.
Wasomali nao hawajalala na wanakimbia mwendo mkali (Bashe, Karia nk )..
Wachina nao wanakuja kwa kasi huku huku wakiwazalisha dada zetu bila akili nzuri, vitoto vya Kichina siku vikikua na kushika madaraka tutakuwa tumechelewa.



Tunakoelekea tutatawaliwa na raia wa kigeni na kuwa colonised directly.
Wewe ndio unasema ila muda utakujuza
 
hivi wazee wa siri wa mwenge wa Taifa bado wapo? Dady etuu yule (R.i.p) naona aliwachinjia baharini kilichompata ni hadithi hadi leo, Mama naona kawapa mtumbwi waendlee na safari ,hii Einchi ngumu aisee , ila tuacheni utani hii wazee wa siri wapo ukiwapinga kazi unayo
 
Hakuiandika mwenyewe?
 
Ni ndoto nzuri.....tuombe uzima
 
Hao wazee na makachero wabobezi huoni unawachongea kwa makundi yenye tamaa ya madaraka, hao walio nguzo za taifa?
 

Bro umesahau na waturuki nao haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…