Maono ya Karatasi nyeupe ya siri itakayofunguliwa 2025

Indeed it is a prediction
bado sala za Watanzania zinaweza kusaidia kupunguza mtafaruku wa siku hiyo
 
Kadiri tunavyozidi kuelekea mwaka 2025 zipo nyuzi nyingi zinazoashiria uwepo wa fumbo fulani la imani juu ya mabadiliko makubwa katika utawala wa nchi yetu. Jambo la ajabu ni kuwa karibu zote zipo katika muumdo wa "simulation" lakini zote zipo "symmetric" juu ya jambo hili kutokea.

Ngoja tuzidi kuvuta subira.
 
Hebu tafsiri kwa kiswahili ueleweke maana naona ma wa wa baruwa, kujuwa ijuwa na ma waa kibao.
 
Another episode of Dark days!?
 
Tumia AKILI once said ;yule wa mipasho akisimama 2025, upinzanzani kuchukua Nchi ni sawa na kuserereka Kwa barafu ya mt Kilimanjaro.

Pia Pana tofauti kati ya NDOTO, MAONO, UNABII nk nk.

Maono ya Karatasi nyeupe sawasawa na mwandishi naamini ni ujumbe Kwa mamlaka kutofanya kosa Hilo, Ili watu wasitokwe machozi siku hiyo.

BUSARA itumike!!!!

Ameeeen
 
Ahsante sana kwa maono Mkuu TumainiEl.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Ben na DJ
 
Ha ha ha ha ha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…