Maono: Yanga atafungwa 1-0 na Al Hilal

Maono: Yanga atafungwa 1-0 na Al Hilal

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Haya ni maono, kwa watu wa michezo ya kubahatisha betting mnaweza kutumia huu mkeka. Siku ya Jumamosi Yanga atacheza na Al Hilal ya Sudan. Matokeo yatakuwa Yanga 0 - 1 Al Hilal.

Kwa upande wa Simba Sc matokeo hayatakuwa mbali sana na atakayopata Al Hilal, naye Simba atashinda 1 bila ugenini.

Asanteni.
 
Yanga mpaka watacheza Robo fainal ya Africa msimu huu 22-23 kama atapoteza mechi haitazidi mmoja.
Yanga ata anza kukutana na mechi halisi nusufainal ya Caf champion league.

Kwa upande wa Simba, ata kama mpira una dunda siwaoni wakifanya lolote na hatua waliyofikia inaweza kuwa mwisho wa wao kushiriki Caf champion league.

Ni swala la muda kilakitu kitakua wazi, mpira ni uwekezaji sio historia Wala propaganda.
 
Haya ni maono, kwa watu wa michezo ya kubahatisha betting mnaweza kutumia huu mkeka. Siku ya jumamosi Yanga atacheza na Al Hilal ya Sudan. Matokeo yatakuwa Yanga 0 - 1 Al Hilal.

Nasadiki haya uyanenayo mtumishi
 
Haya ni maono, kwa watu wa michezo ya kubahatisha betting mnaweza kutumia huu mkeka. Siku ya jumamosi Yanga atacheza na Al Hilal ya Sudan. Matokeo yatakuwa Yanga 0 - 1 Al Hilal.

Kwa upande wa Simba Sc matokeo hayatakuwa mbali sana na atakayopata Al Hilal, naye Simba atashinda 1 bila ugenini.

Asanteni.
Bila Yanga jukwa la michezo lingeboa sana hapa 'JF. Big up wananchi kwa kuzikonga nyoyo za Watanzania, hebu ona mpaka mikia hawalali usiku kucha wanatafakari mziki wa Yanga tu. Yanga ya sasa imesababisha timu ya vibwengo imepoteza mvuto kabisa.
 
Haya ni maono, kwa watu wa michezo ya kubahatisha betting mnaweza kutumia huu mkeka. Siku ya jumamosi Yanga atacheza na Al Hilal ya Sudan. Matokeo yatakuwa Yanga 0 - 1 Al Hilal.

Kwa upande wa Simba Sc matokeo hayatakuwa mbali sana na atakayopata Al Hilal, naye Simba atashinda 1 bila ugenini.

Asanteni.

Ngoja tuone...
 
🚮
 
Inshaallah
 
Wewe ni mshabiki wa timu gani kati ya hizo. Tuanzie hapo kwanza.
 
Jipige kifua,kisha sema ww ni zumbukuku
Yanga mpaka watacheza Robo fainal ya Africa msimu huu 22-23 kama atapoteza mechi haitazidi mmoja.
Yanga ata anza kukutana na mechi halisi nusufainal ya Caf champion league.

Kwa upande wa Simba, ata kama mpira una dunda siwaoni wakifanya lolote na hatua waliyofikia inaweza kuwa mwisho wa wao kushiriki Caf champion league.

Ni swala la muda kilakitu kitakua wazi, mpira ni uwekezaji sio historia Wala propaganda.
 
Hii game mnavyoitabiri kirahisi hivi utasema ni mchezo wa rede...!! Wenye kampuni za betting wenyewe wanaiogopa hiyo game...

Na kama itatokea kampuni yoyote ikiiweka hii game... Mpe YANGA bila kusita kwa kiasi chochote kile... YANGA anashinda hiyo game...
 
Back
Top Bottom