Maono: Yanga atafungwa 1-0 na Al Hilal

Maono: Yanga atafungwa 1-0 na Al Hilal

Hii game mnavyoitabiri kirahisi hivi utasema ni mchezo wa rede...!! Wenye kampuni za betting wenyewe wanaiogopa hiyo game...

Na kama itatokea kampuni yoyote ikiiweka hii game... Mpe YANGA bila kusita kwa kiasi chochote kile... YANGA anashinda hiyo game...
Wacheza bet,waweke mzigo kwa 6-1 watakuja nishukuru 🤸🤸
 
Haya ni maono, kwa watu wa michezo ya kubahatisha betting mnaweza kutumia huu mkeka. Siku ya jumamosi Yanga atacheza na Al Hilal ya Sudan. Matokeo yatakuwa Yanga 0 - 1 Al Hilal.

Kwa upande wa Simba Sc matokeo hayatakuwa mbali sana na atakayopata Al Hilal, naye Simba atashinda 1 bila ugenini.

Asanteni.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mimi Yanga ila nimeota Diara katoka langoni kwenda kulalamikia refa. jamaa akapiga free kick ikawa goli.
Pia, Mchezaji wa Yanga ambaye sura yake haikuja vizuri, ila ni mtanzania akafunga goli likakataliwa.
Inaweza ikawa opposite. Ndoto zangu mara nyingi hutokea.
 
Yanga mpaka watacheza Robo fainal ya Africa msimu huu 22-23 kama atapoteza mechi haitazidi mmoja.
Yanga ata anza kukutana na mechi halisi nusufainal ya Caf champion league.

Kwa upande wa Simba, ata kama mpira una dunda siwaoni wakifanya lolote na hatua waliyofikia inaweza kuwa mwisho wa wao kushiriki Caf champion league.

Ni swala la muda kilakitu kitakua wazi, mpira ni uwekezaji sio historia Wala propaganda.
Asa yanga imewekeza nini?
 
Punguzeni mihemko.
Al hilal hana timu ya kuchukua point 3 mbele ya Yanga hii.

Al hilal atapigwa kama ngoma[emoji1623][emoji1623]
Hakunaga tony shoga ila wewe you can be
 
Hakunaga tony shoga ila wewe you can be
Jifunze kuheshimu maoni ya mtu na hata hivyo huu ulikua utabiri wangu sasa maswala ya kuitana shoga yanatoka wapi?

Nipo jf kwa miaka 9 tunabishana sana na kina Gentamicin, okwi boban sunzu lakini tunaheshimiana na kubishana kwa hoja sio matusi kama unavoleta wewe.
 
Haya ni maono, kwa watu wa michezo ya kubahatisha betting mnaweza kutumia huu mkeka. Siku ya jumamosi Yanga atacheza na Al Hilal ya Sudan. Matokeo yatakuwa Yanga 0 - 1 Al Hilal.

Kwa upande wa Simba Sc matokeo hayatakuwa mbali sana na atakayopata Al Hilal, naye Simba atashinda 1 bila ugenini.

Asanteni.
Maono ya shetani.
 
JamiiForums1700694119.gif
 
Back
Top Bottom