Maono: Yanga atafungwa 1-0 na Al Hilal

Maono: Yanga atafungwa 1-0 na Al Hilal

Yanga mpaka watacheza Robo fainal ya Africa msimu huu 22-23 kama atapoteza mechi haitazidi mmoja.
Yanga ata anza kukutana na mechi halisi nusufainal ya Caf champion league.

Kwa upande wa Simba, ata kama mpira una dunda siwaoni wakifanya lolote na hatua waliyofikia inaweza kuwa mwisho wa wao kushiriki Caf champion league.

Ni swala la muda kilakitu kitakua wazi, mpira ni uwekezaji sio historia Wala propaganda.
Poleeee
 
Hii game mnavyoitabiri kirahisi hivi utasema ni mchezo wa rede...!! Wenye kampuni za betting wenyewe wanaiogopa hiyo game...

Na kama itatokea kampuni yoyote ikiiweka hii game... Mpe YANGA bila kusita kwa kiasi chochote kile... YANGA anashinda hiyo game...
Daah
 
Haya turudi Sasa kwenye huu Uzi kuwasaka wale wote waliobisha kuusu huu utabiri.
 
Yanga mpaka watacheza Robo fainal ya Africa msimu huu 22-23 kama atapoteza mechi haitazidi mmoja.
Yanga ata anza kukutana na mechi halisi nusufainal ya Caf champion league.

Kwa upande wa Simba, ata kama mpira una dunda siwaoni wakifanya lolote na hatua waliyofikia inaweza kuwa mwisho wa wao kushiriki Caf champion league.

Ni swala la muda kilakitu kitakua wazi, mpira ni uwekezaji sio historia Wala propaganda.
Halafu nimegundua kweli kwenye watanzania watano wawili Wana changamoto ya afya ya akili, dada au kaka kajipime una ukichaaa mkubwa .
 
Back
Top Bottom