Maono: Yanga atafungwa 1-0 na Al Hilal

Maono: Yanga atafungwa 1-0 na Al Hilal

Jezi ya Yanga ni 'NZITO'
 
Yanga mpaka watacheza Robo fainal ya Africa msimu huu 22-23 kama atapoteza mechi haitazidi mmoja.
Yanga ata anza kukutana na mechi halisi nusufainal ya Caf champion league.

Kwa upande wa Simba, ata kama mpira una dunda siwaoni wakifanya lolote na hatua waliyofikia inaweza kuwa mwisho wa wao kushiriki Caf champion league.

Ni swala la muda kilakitu kitakua wazi, mpira ni uwekezaji sio historia Wala propaganda.
[emoji196][emoji196][emoji196]

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maono yametimia
mleta mada mjukuu wa shehe yahaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kula gwara

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Mkuu ulitisha sana
Haya turudi Sasa kwenye huu Uzi kuwasaka wale wote waliobisha kuusu huu utabiri.
Kuna watu wana maono makali sana,

Hembu nambie huyu mke wangu ananipenda au anaigiza?
Dah mrithi sahihi wa shehe Yahaya huyu hapa sasa.
Nyie ndio wachawi wenyewe tunawatafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Umetisha mkuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nashkuru sana mkuu OKW BOBAN SUNZU kwani una kalama za kipekee kiuchambuzi
Acheni kutoa sifa za asizo stahili someni uzi vizuri msicomment kibubusa hakuna cha utabiri hapo utabiri wake umefeli ,nyie ndiye kwenye examination room hamsomi swali linataka nini kwa umakini bali mnakimbilia kujibu moja kwa moja kumbe ni mtego matokeo yake mnakuwa trapped easily..
 
KIKUBWA Simba imepita hayo mengine mcheck mtoa Uzi
 
Yanga mpaka watacheza Robo fainal ya Africa msimu huu 22-23 kama atapoteza mechi haitazidi mmoja.
Yanga ata anza kukutana na mechi halisi nusufainal ya Caf champion league.

Kwa upande wa Simba, ata kama mpira una dunda siwaoni wakifanya lolote na hatua waliyofikia inaweza kuwa mwisho wa wao kushiriki Caf champion league.

Ni swala la muda kilakitu kitakua wazi, mpira ni uwekezaji sio historia Wala propaganda.
redio ya mbao
 
Yanga mpaka watacheza Robo fainal ya Africa msimu huu 22-23 kama atapoteza mechi haitazidi mmoja.
Yanga ata anza kukutana na mechi halisi nusufainal ya Caf champion league.
 
Acheni kutoa sifa za asizo stahili someni uzi vizuri msicomment kibubusa hakuna cha utabiri hapo utabiri wake umefeli ,nyie ndiye kwenye examination room hamsomi swali linataka nini kwa umakini bali mnakimbilia kujibu moja kwa moja kumbe ni mtego matokeo yake mnakuwa trapped easily..
Acha kuumia kwa vitu vidogovidogo,

SASA WEWE KWA AKILI YAKO ULIJUA MTASHINDA HHII GAME?
Mwiko nyuma
 
Utawaona basiii!
Nakumbuka hata msemaji wa Simba Ahmed, wakati anampongeza msemaji wa Yanga kwa kuteuliwa nafasi lle, alimwambia atashuhudia Yanga yake mchezo mmoja tu wa CL pale kwa Mkapa!
Sasa kulikua na haja gani kutambulisha wachezaji usiku wa mananen kama wachawi,mashetani🥸
 
Acheni kutoa sifa za asizo stahili someni uzi vizuri msicomment kibubusa hakuna cha utabiri hapo utabiri wake umefeli ,nyie ndiye kwenye examination room hamsomi swali linataka nini kwa umakini bali mnakimbilia kujibu moja kwa moja kumbe ni mtego matokeo yake mnakuwa trapped easily..
JamiiForums614628660.jpg
 
Jumapili baada ya game kumalizika mashabiki ya mbumbumbu fc akili zitakorogeka pamoja na mavi..Mo,barba,mgunda na matola watatukanwa mpaka watawakumbuka marehemu wazazi wao

Kama alivyosema Manara kwamba utopolo wenye akili ni watu wawili tu, bila shaka hilo halina ubishi kwa huu utopolo ulioandika hapa!
Naamini kabisa hapo ulipo basi wewe ndiye utakayekuwa unawakumbuka marehemu wazazi wako kama walishatangulia!
Kwa kilio cha utopolo mnachokipata, na tabu mnayopata mkome kabisa hasa dhihaka mnazoifanyia simba na viongozi wa simba!
Poor utopolo...
 
😠
 
Back
Top Bottom