OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nasadiki haya uyanenayo mtumishiHaya ni maono, kwa watu wa michezo ya kubahatisha betting mnaweza kutumia huu mkeka. Siku ya jumamosi Yanga atacheza na Al Hilal ya Sudan. Matokeo yatakuwa Yanga 0 - 1 Al Hilal.
Kwa upande wa Simba Sc matokeo hayatakuwa mbali sana na atakayopata Al Hilal, naye Simba atashinda 1 bila ugenini.
Asanteni.
Bila Yanga jukwa la michezo lingeboa sana hapa 'JF. Big up wananchi kwa kuzikonga nyoyo za Watanzania, hebu ona mpaka mikia hawalali usiku kucha wanatafakari mziki wa Yanga tu. Yanga ya sasa imesababisha timu ya vibwengo imepoteza mvuto kabisa.Haya ni maono, kwa watu wa michezo ya kubahatisha betting mnaweza kutumia huu mkeka. Siku ya jumamosi Yanga atacheza na Al Hilal ya Sudan. Matokeo yatakuwa Yanga 0 - 1 Al Hilal.
Kwa upande wa Simba Sc matokeo hayatakuwa mbali sana na atakayopata Al Hilal, naye Simba atashinda 1 bila ugenini.
Asanteni.
Hivi kumbe mshindi anachukua points 3?nilidhani mtoanoPunguzeni mihemko.
Al hilal hana timu ya kuchukua point 3 mbele ya Yanga hii.
Al hilal atapigwa kama ngoma🥁🥁
Hata hawajui wanashindania nn maaikini [emoji1787][emoji1787]Hivi kumbe mshindi anachukua points 3?nilidhani mtoano
Haya ni maono, kwa watu wa michezo ya kubahatisha betting mnaweza kutumia huu mkeka. Siku ya jumamosi Yanga atacheza na Al Hilal ya Sudan. Matokeo yatakuwa Yanga 0 - 1 Al Hilal.
Kwa upande wa Simba Sc matokeo hayatakuwa mbali sana na atakayopata Al Hilal, naye Simba atashinda 1 bila ugenini.
Asanteni.
🚮Haya ni maono, kwa watu wa michezo ya kubahatisha betting mnaweza kutumia huu mkeka. Siku ya jumamosi Yanga atacheza na Al Hilal ya Sudan. Matokeo yatakuwa Yanga 0 - 1 Al Hilal.
Kwa upande wa Simba Sc matokeo hayatakuwa mbali sana na atakayopata Al Hilal, naye Simba atashinda 1 bila ugenini.
Asanteni.
InshaallahHaya ni maono, kwa watu wa michezo ya kubahatisha betting mnaweza kutumia huu mkeka. Siku ya jumamosi Yanga atacheza na Al Hilal ya Sudan. Matokeo yatakuwa Yanga 0 - 1 Al Hilal.
Kwa upande wa Simba Sc matokeo hayatakuwa mbali sana na atakayopata Al Hilal, naye Simba atashinda 1 bila ugenini.
Asanteni.
Yanga mpaka watacheza Robo fainal ya Africa msimu huu 22-23 kama atapoteza mechi haitazidi mmoja.
Yanga ata anza kukutana na mechi halisi nusufainal ya Caf champion league.
Kwa upande wa Simba, ata kama mpira una dunda siwaoni wakifanya lolote na hatua waliyofikia inaweza kuwa mwisho wa wao kushiriki Caf champion league.
Ni swala la muda kilakitu kitakua wazi, mpira ni uwekezaji sio historia Wala propaganda.