Maono: Yanga atafungwa 1-0 na Al Hilal

Young African Vs Al hilal Omdurman
8.10.2022
Zote zinatawaliwa na namba tasa hiyo siku...

Hivyo ni game ngumu kwa mchezo wa kawaida usiokuwa na nguvu yoyote ya ziada (ni sare)...
 
Hapana, baada ya kufungwa hilo moja atafunguka ili kutaka kusawazisha na kupigwa la pili. Hii mechi itaisha 2-0!
 
2-1 kila upande kwa mtazamo wangu
Yanga atalala 2, SIMBA atashinda 2
 
Labda mechi zote za Yanga wachezee Kwa Mkapa na refa awe Arajiga na lines men wawe Sasii na Kayoko ndio Yanga watafika robo fainali.
 
Pole sana, jaribu kutafuta mtaalam wa tiba za msongo wa mawazo anaweza kukusaidia tatizo lako
 
Jumapili baada ya game kumalizika mashabiki ya mbumbumbu fc akili zitakorogeka pamoja na mavi..Mo,barba,mgunda na matola watatukanwa mpaka watawakumbuka marehemu wazazi wao
 
wakati unampa uwe unajua kuwa hakuna mechi hata moja ya champion league utopolo amewahi kushinda hapa Dar recently
 
wakati unampa uwe unajua kuwa hakuna mechi hata moja ya champion league utopolo amewahi kushinda hapa Dar recently
Kwani zahlan walichezea wapi na ni michuano ipi labda utujuze ndugu?
 
Mpira dakika 90 , sio mchiriku
 
Naku
Nakubaliana na ww,Anayekubushia apigwe risasi hadharani
 
Ni 3 kwa 2
 
Huyu hajawahi kutabiri lolote la kweli,angebaki kule kule kwa wabunge wake wa covid 19
 
Mnadhani wachezaji wanapita huku hadi muwavuruge kisaikolojia.
 
Sio kweli ndoto yako ni ya chuki,kesho tunatoka na mipira yetu miwili uwanjani 🏃🏃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…