Maono: Yanga atafungwa 1-0 na Al Hilal

Wacheza bet,waweke mzigo kwa 6-1 watakuja nishukuru 🤸🤸
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mimi Yanga ila nimeota Diara katoka langoni kwenda kulalamikia refa. jamaa akapiga free kick ikawa goli.
Pia, Mchezaji wa Yanga ambaye sura yake haikuja vizuri, ila ni mtanzania akafunga goli likakataliwa.
Inaweza ikawa opposite. Ndoto zangu mara nyingi hutokea.
 
Asa yanga imewekeza nini?
 
Punguzeni mihemko.
Al hilal hana timu ya kuchukua point 3 mbele ya Yanga hii.

Al hilal atapigwa kama ngoma[emoji1623][emoji1623]
Hakunaga tony shoga ila wewe you can be
 
Hakunaga tony shoga ila wewe you can be
Jifunze kuheshimu maoni ya mtu na hata hivyo huu ulikua utabiri wangu sasa maswala ya kuitana shoga yanatoka wapi?

Nipo jf kwa miaka 9 tunabishana sana na kina Gentamicin, okwi boban sunzu lakini tunaheshimiana na kubishana kwa hoja sio matusi kama unavoleta wewe.
 
Maono ya shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…