KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Nadhani hata "ubunifu" wako unamatatizo mkuu, kwa maana hujaeleza chochote kikaeleweka.Wiki hi inayoishia nikiwa naelekea Changanyikeni nilibahatika kutembelea yanayoitwa Maonyesho ya Ubunifu pale Mlimani. Aisee, kwa kweli inabidi vyuo hivi kujipanga upya. Maana dunia inaenda Mbele wao wapo Zama za mawe. Sanamu la mabati mbona Fundi tu kitaa anatengeneza? Utaalamu wenu mpaka PhD ndio umefika mwisho?
View attachment 1801671
Hizo picha naona hapo uliyoiita "Bati", halafu ukaishia hapo!
Yaani uliona bati pekee katika picha hiyo?
Mimi sikuwepo, na sijui nini kilikuwa kinaendelea hapo, lakini picha tu, kidogo inanionyesha zaidi ya hayo uloyoeleza wewe.
Siwatetei hao watu, kwa sababu kwa umri wao walioufikisha sasa hivi, ndio tungepashwa kuwategemea wao kutusaidia na matatizo yetu mengi ya maendeleo, karibu kwa kila nyanja; lakini tunapowalaumu, inafaa pia tuwe na uwezo wa kueleza ni wapi hasa wametuangusha.