dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
40k per diem, sio mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂 😂Aisee. Nilistaajabu kuona Profesa katengeneza jiko la kutumia mwanga wa jua kupikia supu. Hivi ile dawa Yao ya kufukiza bado wanayo?
**Halafu mbona Kama hayo maonyesho wanafanya kwa kujificha? Promo hamna kabisa
Hapo ni shilingi milioni kadhaa (>Tsh21 milioni) zilitupwa tu kama hazina thamani yoyote!Hivi ile mashine ya kujifukiza pale Muhimbili bado ipo ?
Sikujua kwamba bado unamawazo mgando kama hayo.Kuhusu mbu hawajashindwa kuwaondoa..ndio mana kwako walishasahau suala la malaria..ila huku tumeachiwa mbu ili waendelee kupiga pesa kupitia dawa wanazotuuzia..kimsingi baada ya Mungu mzungu..utajitia ujinga kukataa ila ndio ukweli huo..hata wabongo wenzio kuna wambao hawataki malaria iishe ili waendelee kuchumia tumbo..ukitaka uuwe mbu..anza leo kutumia DDT pulizia nchi nzima mara kwa mara utaondosha malaria..ila kwakua wao wanalijua hilo ndio mana walipiga marufuku matumizi hayo ya DDT ila tuendelee kuhangaika na malaria wao waendelee kututawala kiuchumi.
#MaendeleoHayanaChama
Basi SAWA.Wewe njoo na mawazo yako ila na kuhakikishia huwezi fikia wazungu..hao watu wanaishi kwaajili ya kufanya utafiti wapo kwaajili ya kutengeneza historia mpya..sasa wewe unayehangaika hujui utakula nini utavaa nini..utegemee uje na uvumbuzi gani?kwa nchi ambayo sera yake kununua wapinzani unadhani kuna kipya hapa.
#MaendeleoHayanaChama
'Of course', kwa mtu mwenye ubongo uliolala kama wewe utaona hivyo. Maana yake ni kwamba huna akili ya ubunifu.idea ya kijinga mnooo,gari lenyewe tu ambayo ji mashine inakula kila siku(mafuta\oil) itakua wew binadamu mwenye utumbo eti ule mara moja kwa mwezi.
Mkorofi sana weweSanamu limetulia pembezoni kwa Prof analielezea jinsi alivyochomelea hayo mabati.
Ahahahahahahhah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka sana mpaka watu wamenishangaa, hatari sana, kwamba hilo sanamu la chuma ndilo wanataka kwenda nalo mwezini[emoji13][emoji13]
Wasije kutuangukia wakatuua bure, na huko mwezini wakienda wanaenda kufanya nini??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikiripoti kutoka Jalalani Ni mm sanamu la Chuma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora hata SUA kuna panya wa kutegua mabomu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hapa umeeleza kitu gani?Kazi gani? Soma kuhusu Singaple na kwingine, Nazani uko nje ya wakati mkuu, hizo za mbu mboba kitambo sana walisha vumbua?
Wewe hapo umefanya kipi cha maana au unaongea tu..kimsingi malaria elimination lazima upambane na mbu..mana ndio vector..ukimuangamiza mbu huwezi pata malaria utaitokomeza..hizi interventions nyingine hazi wezi kueliminate zitapunguza tu maambukizi.Sikujua kwamba bado unamawazo mgando kama hayo.
Kwa 'level' yako hii ni vigumu kukuelewesha uelewe nilicholenga hapo.
Huhitaji kupulizia DDT kuondoa mbu. DDT itaua na viumbe wengine wenye faida katika mazingira.
Na siyo lazima uwauwe mbu ndipo uondoe malaria, ndiyo sababu kwa mtu kama wewe huwezi kuelewa ubunifu ninaoulenga katika jambo hili la mbu.
Unapomwabudu mzungu kiasi hicho, najua ni mtu wa namna gani ninayejadiliana naye; bado upo chini sana mkuu. Kama bado wewe ni mwanafunzi, basi jaribu kutanua ufikiri kidogo, maanake elimu unayopata haionyeshi kwamba inakusaidia chochote.
Wewe jamaa ni 'bogus' kweli!Mbona zipo za kichina tiyari? Uko Dunia hii kweli?
Hili tu hapa linakuonyesha wewe ni mpuuzi, na hujui lolote.Wewe hapo umefanya kipi cha maana au unaongea tu..kimsingi malaria elimination lazima upambane na mbu..mana ndio vector..ukimuangamiza mbu huwezi pata malaria utaitokomeza..hizi interventions nyingine hazi wezi kueliminate zitapunguza tu maambukizi.
[emoji3][emoji3]. JF never boring.Usikute Hilo Sanamu la Chuma ndio wanataka kwenda nalo Mwezini
Hata kuvumbua aina fulani ya ka"drone" kadogo dogo kuna hitaji fedha nyingi?Hhahaha.......utafiti ni pesa, ukifuatilia bajeti inayotengwa na nchi kwa ajili ya research utalia. Si ajabu vyuo vikuu vinakuja na innovation za sanamu za mabati, siwezi kushangaa....hebu fikiria kufanya innovation ya chombo cha kwenda hapo mwezini, kwa pesa ipi?