Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23],dahNikiripoti kutoka Jalalani Ni mm sanamu la Chuma.
Hatutaki cha kwenda mwezini tunataka hata cha kwenda tu hapo goba tofauti na gari na bodabodaHhahaha.......utafiti ni pesa, ukifuatilia bajeti inayotengwa na nchi kwa ajili ya research utalia. Si ajabu vyuo vikuu vinakuja na innovation za sanamu za mabati, siwezi kushangaa....hebu fikiria kufanya innovation ya chombo cha kwenda hapo mwezini, kwa pesa ipi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sanamu limetulia pembezoni kwa Prof analielezea jinsi alivyochomelea hayo mabati.
Linatembea mkuu sema likikutana na mtu linatukana matusi ya nguoni linakutukania hadi bibi yako...ndo prof bado hajajua kwanini linafanya hivyo anaomba msaada kwa pmHilo sanamu la bati linatembea au lipo tuu km la fundi maiko
Hahahahaha utakula kutu ufe kabisaNikiripoti kutoka Jalalani Ni mm sanamu la Chuma.
Hii picha ya mwisho ungetuachia hata lips tu mamaaMngesema niende na bidhaa zangu duuuView attachment 1802542View attachment 1802544View attachment 1802545
Nenda kariakoo mtaa wa makamba/Swahili uone vijana watakutengenezea hadi chyup ya chuma na unaivaa hapohapoTaja mfano wa hao vijana
Kwahiyo haya ndio maajabu uliyomaanisha kumbe kazi ipo.Nenda kariakoo mtaa wa makamba/Swahili uone vijana watakutengenezea hadi chyup ya chuma na unaivaa hapohapo
Nadhani umeongea kwa dharau sana. Imagine akatokea muhandisi akatengeneza mashine inayotengeneza tofali kwa mchanganyiko wa simenti kidogo na udongo wa kawaida na likawa imara kuliko la simenti na mchanga, na gharama yake ikawa ni Tsh 100 kwa tofali, unadhani linapaswa kudharauliwa kwa sababu tu "Engineer anapigania kubuni mashine ya kufyatulia tofali?"Engineer anapigania kubuni mashine ya kufyatulia tofali
Prof naona jiwe limekupata kisawasawa na kitambi chako full madesa.Nadhani umeongea kwa dharau sana. Imagine akatokea muhandisi akatengeneza mashine inayotengeneza tofali kwa mchanganyiko wa simenti kidogo na udongo wa kawaida na likawa imara kuliko la simenti na mchanga, na gharama yake ikawa ni Tsh 100 kwa tofali, unadhani linapaswa kudharauliwa kwa sababu tu "Engineer anapigania kubuni mashine ya kufyatulia tofali?"
Kuna haja ya kuwakosoa wakosoaji, maana naona kila mtu anarusha mawe alimradi amekosoa!
Mkuu mwache aseme ukweli. Pale Coet kweli wanashindwa kutengeneza viti na meza za chuo mpaka wampe mkandarasi wa keko alete pale. Hebu waanze kutatua matatizo yao. Hayo maungo ya aluminium wanazunguka nayo kila maonyesho hakuna jipya.Nadhani umeongea kwa dharau sana. Imagine akatokea muhandisi akatengeneza mashine inayotengeneza tofali kwa mchanganyiko wa simenti kidogo na udongo wa kawaida na likawa imara kuliko la simenti na mchanga, na gharama yake ikawa ni Tsh 100 kwa tofali, unadhani linapaswa kudharauliwa kwa sababu tu "Engineer anapigania kubuni mashine ya kufyatulia tofali?"
Kuna haja ya kuwakosoa wakosoaji, maana naona kila mtu anarusha mawe alimradi amekosoa!
Hana elimu ya darasani hakupelekwa shule ??Kuna jamaa wa Nigeria yeye anatengeza maumbo mbalimbali kwa tairi chakavu za magari...nahisi jamaa ni mbunifu kuliko hao wazee wa bati...ingawa jamaa hana elimu ya darasani
Angekosoa kama ulivyofanya isingekuwa shida. Ukikosoa kwa kuonyesha udhaifu ni jambo jema kuwasaidia wahusika kujirekebisha. Ila ile blanket statement haifai!Mkuu mwache aseme ukweli. Pale Coet kweli wanashindwa kutengeneza viti na meza za chuo mpaka wampe mkandarasi wa keko alete pale. Hebu waanze kutatua matatizo yao. Hayo maungo ya aluminium wanazunguka nayo kila maonyesho hakuna jipya.
Kwani nini kinashindikana kupitia Tafiti kibao walizonazo wafanye vitu vya maana? Kuna shida ipo mahali.
24 May 2021
Dar es Salaam, Tanzania
MAPEMA LEO:WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA MABANDA NA KUFUNGUA MAONESHO YA 6 YA UBUNIFU NA UTAFITI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Source : mlimani tv UDSM