Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
A' level jamaa wa PGM, walipika wali kwa kutumia mionzi ya jua, nashangaa Prof. anajigamba kwa kufanya jambo la kiwango cha A' level!!! Hayo mavioo sio ma-convex kweli? Wakati nipo primary school tulikuwa tunachoma karatasi kutumia mwanga wa jua kupitia magnifying glass!!Aisee. Nilistaajabu kuona Profesa katengeneza jiko la kutumia mwanga wa jua kupikia supu. Hivi ile dawa Yao ya kufukiza bado wanayo?
**Halafu mbona Kama hayo maonyesho wanafanya kwa kujificha? Promo hamna kabisa