Mapato ya Filamu ya Royal Tour kule AMAZON ni kufuru, kuingizia Tanzania zaidi ya TZS 1.5 Trilioni kwa mwaka

Siku mama akimaliza muda wake hapo 2030, napendekeza CEO wa Simba SC Barbra Gonzalez achukue kijiti.
 
Kilimo simulizi kisigeuka kuwa sinema simulizi. Mh Mtaka aje atolee maelezo hizi namba za wataje wa sinema ya royal tour hapo Amazon zinasoma ngapi? Biashara asubuhi jioni mahisabu.
 
Tomboka malamu, mama anaitangaza dunia kwa akili ya Karne za mbele
 


Hii kitu tumeipigia kelele mpaka koo zimekauka, tumeamua kukaa kimya,
 
Bila kusahau kuwa Maza mwenyewe alitangaza kuwa nchini Kuna gaidi (aliposema Mbowe ni gaidi)
 


Tanzania haipati kitu kwenye hili zaidi ya matangazo ya watalii huu ndiyo ukweli


"Kwakuwa Tanzania ni mmiliki halali wa "Tanzania Royal Tour Film " mapato yote yatokanayo na filamu hiyo pia ni mali ya Watanzania ukiondoa gharama za Uendeshaji kule Amazoni."
 

Samia kupitia BBC alisema serikali haijatoa hata shilingi sasa wewe umetoa wapi hizi habari za tanzania kugharamia hii filamu umezitoa wapi? Mtu hajagharamia filamu amepata wapi hiyo hati miliki ya kupata mapato ya hiyo filamu?

Sasa nimeanza kuelewa hoja ya Lissu.
Ni wazi kuna jambo tunafichwa kuhusu hii filamu
 
Ila sasa wakati Umefikia,

Watusaidie kwa kweli vijana tunapata shida kupata kazi za online maana wengi wanalipa kwa PayPal, na PayPal tanzania huwezi kupokea hela,

Nahisi ni Tanzania tu tumebakia nyuma namna hii, sielewi kwa nn,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…