Mapato ya Filamu ya Royal Tour kule AMAZON ni kufuru, kuingizia Tanzania zaidi ya TZS 1.5 Trilioni kwa mwaka


That’s a fantasy! Nyie ndiyo wale ambao huwa mnatengeneza business plans zenye dubious assumptions na biashara zenu kuishia kufa ndani ya muda mfupi tu!
 
Tumesha danganywa sana.... Tuendelee tu..... Tumepigwa na kitu kizito....
 
Msaada wakuu, Kuna lugha ngumu nimeikuta ndani ya huu Uzi "Wakodiji"ndio watu wa aina gani hao!?
 

Wee hujui business, it is not a straight forward like that, hiyo ni biashara kwenye papers tu. Is like kilimo cha mtandaoni.

Biashara hufanyi nadhani hata moja ww.
 
... nadhani huu mradi utaingia kwenye vote ya rais ambapo CAG hatii pua.
Atie pua wamufanye Kama Assad..au akitia pua atapamba tu kwamba royal tour imetuingizia faida maradufu ila b.7 nyingi sana ni vijizahati vingapi hapo
 
Ni kweli, nimekwenda pale Amazon nikakuta Tanzania ndiyo ya kwanza. Angalia

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…