CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Unacheka nini, Filamu itakuwa hapo kwa miaka kadhaa,Halafu kila mwaka itakuwa inaingiza hela hiyo hiyo?! Nimecheka vibaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unacheka nini, Filamu itakuwa hapo kwa miaka kadhaa,Halafu kila mwaka itakuwa inaingiza hela hiyo hiyo?! Nimecheka vibaya.
Iko hivi,
Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100%
Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani.
Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo endelevu.
Nimeona kiongozi wa CHADEMA anayeishi Ughaibuni Mhe Tundu Lissu amehoji hii kwenye ukurasa wake wa Tweeter akitaka kujua pesa toka Mtandao wa AMAZONI ni mali ya nani?
Kwakuwa Tanzania ni mmiliki halali wa "Tanzania Royal Tour Film " mapato yote yatokanayo na filamu hiyo pia ni mali ya Watanzania ukiondoa gharama za Uendeshaji kule Amazoni.
Mtakumbuka AMAZONI inajumla ya Watazamaji na wanunuzi|wakodiji 175M kwa mwaka.
Gharama ya kukodi tu yaani kuangalia na kuondoka ni US$ 5.99 karibu TZS 15,000.
Wakati huo huo gharama za kuinunua video hiyo ni US$ 19.99 au TZS 46,000.
Kwakuwa Amazon inawanunuzi na wakodiji 157M Wa video zake kwa mwaka.
Hebu tukadirie filamu yetu ya Royal Tour ikodiwe tu na watu 100M kwa mwaka au kwa miaka.
Hii ni sawa na kusema
Chukua hawa wakodiji 100M zidisha kwa elfu 15 utapata jumla ya TZS 1,500,000,000,000 yaani TZS 1.5Trilioni.
Kumbukeni hii ni pesa toka AMAZONI tu sio Utalii.
Ili kuweka rekodi sawa haya mapato ya TZS 1.5Trilioni ni kwaajili ya kukodi tu achilia mbali yale ya kununua sijayaweka hapa.
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa sana na huenda itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu mwingine kama yeye.
Sasa Tanzania huenda ikapata jumla ya zaidi ya TZS 1.5Trilioni toka Amazon kama mauzo ya Filamu yetu ya Royal Tour kila mwaka bila kuhesabu faida kubwa ya Utalii tuliyoilenga.
Wenye masikio na wasikie haya,
View attachment 2195022
View attachment 2195105
NakaziaMshauza haki zote hivyo mapato yote hayawahusu
Una uhakika na hili ?Mashirika yasiyo ya KISERIKALI....
Yanaanzaje kugharamia bila ya serikali yetu adhimu kuwa na mipango ya hii project ?!!!
Iko hivi,
Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100%
Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani.
Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo endelevu.
Nimeona kiongozi wa CHADEMA anayeishi Ughaibuni Mhe Tundu Lissu amehoji hii kwenye ukurasa wake wa Tweeter akitaka kujua pesa toka Mtandao wa AMAZONI ni mali ya nani?
Kwakuwa Tanzania ni mmiliki halali wa "Tanzania Royal Tour Film " mapato yote yatokanayo na filamu hiyo pia ni mali ya Watanzania ukiondoa gharama za Uendeshaji kule Amazoni.
Mtakumbuka AMAZONI inajumla ya Watazamaji na wanunuzi|wakodiji 175M kwa mwaka.
Gharama ya kukodi tu yaani kuangalia na kuondoka ni US$ 5.99 karibu TZS 15,000.
Wakati huo huo gharama za kuinunua video hiyo ni US$ 19.99 au TZS 46,000.
Kwakuwa Amazon inawanunuzi na wakodiji 157M Wa video zake kwa mwaka.
Hebu tukadirie filamu yetu ya Royal Tour ikodiwe tu na watu 100M kwa mwaka au kwa miaka.
Hii ni sawa na kusema
Chukua hawa wakodiji 100M zidisha kwa elfu 15 utapata jumla ya TZS 1,500,000,000,000 yaani TZS 1.5Trilioni.
Kumbukeni hii ni pesa toka AMAZONI tu sio Utalii.
Ili kuweka rekodi sawa haya mapato ya TZS 1.5Trilioni ni kwaajili ya kukodi tu achilia mbali yale ya kununua sijayaweka hapa.
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ni akili kubwa sana na huenda itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu mwingine kama yeye.
Sasa Tanzania huenda ikapata jumla ya zaidi ya TZS 1.5Trilioni toka Amazon kama mauzo ya Filamu yetu ya Royal Tour kila mwaka bila kuhesabu faida kubwa ya Utalii tuliyoilenga.
Wenye masikio na wasikie haya,
View attachment 2195022
View attachment 2195105
Atie pua wamufanye Kama Assad..au akitia pua atapamba tu kwamba royal tour imetuingizia faida maradufu ila b.7 nyingi sana ni vijizahati vingapi hapo... nadhani huu mradi utaingia kwenye vote ya rais ambapo CAG hatii pua.
Daaahtufikie wakati tuache kutumia makalio kufikiria
Umenena baba paroko wa J'berg👍Atakayepinga hilo ana lake jambo, tuweke itikadi za vyama pembeni, wasiouona uzuri wa Mama ni wale waabudu mizimu wa Chato tu.
😀😀Umenena baba paroko wa J'berg👍
Renters,Msaada wakuu, Kuna lugha ngumu nimeikuta ndani ya huu Uzi "Wakodiji"ndio watu wa aina gani hao!?
Ngoja nitacheck tena. Tangu jana nikisearch amazon siioni.
Sijapata muda ila kila nikiwa nasearch ilikuwa Iitokea ya kageme.Utakua unaandika CCM movie [emoji23][emoji23].badala ya Royal tour [emoji16][emoji16]