Pre GE2025 Mapendekezo ya CHADEMA juu ya Miswada ya Sheria za Uchaguzi ambayo Kamati ya Bunge inazuia yasisomwe Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Takwimu zipi unazozitaka hapa wewe. Si nimekuwekea hoja nayoijadili hapa imetoka wapi na ni hoja namba ngapi.unataka nini zaidi au unapenda kutafuniwa kila kitu wewe umeze tu kama kinda la ndege
 
Takwimu zipi unazozitaka hapa wewe. Si nimekuwekea hoja nayoijadili hapa imetoka wapi na ni hoja namba ngapi.unataka nini zaidi au unapenda kutafuniwa kila kitu wewe umeze tu kama kinda la ndege
Kinda la Ndege ni yule Role model wako uliyetutangazia Waziri mkuu wa France!
 
Kinda la Ndege ni yule Role model wako uliyetutangazia Waziri mkuu wa France!
Wewe endelea kuhangaika na kuchangamana na nyumbu wa CHADEMA ambapo kwa sasa uwezo wako wa kufikiri umekuwa kama wao na umebaki kuokoteza umbea umbea na kupiga porojo tu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimesoma mapendekezo ya CHADEMA yaliyowasilishwa mbele ya kamati ya Bunge neno kwa neno, msitari kwa msitari na kifungu kwa kifungu.nimesoma kuanzia...
Tangu lini CHAWA akawa na akili ya kufanya uchambuzi?

Wewe bakia na uchawa wako labda unaweza kupata uteuzi.
 
Kwa hiyo kila binadamu akisikitika na chochote alete JF? We nani kwani na una impact gani kwamba ukisikitika unakuja kuitangazia dunia badala kuongea na wanaokuhusu?
Mimi ni mlipa kodi na ninapinga mapendekezo ya kihayawani na kijinga yaliyotolewa na CHADEMA yanayotaka kutuongezea gharama za kuwahudumia wabunge badala ya kupeleka kwenye miradi ya maendeleo itakayo leta tija kwa wananchi
 
Tangu lini CHAWA akawa na akili ya kufanya uchambuzi?

Wewe bakia na uchawa wako labda unaweza kupata uteuzi.
Jibu swali eqe mmawia .niambie kuna sababu gani na umuhimu upi kwa utafiti upi mpaka jimbo moja liwe na wabunge wawili? Kwanini CHADEMA wanataka kuongeza gharama na mzigo kwa mlipa kodi? Je ndio maendeleo hayo?
 
Ndivyo alivyosema Mnyika? Kwamba anataka wabunge wawili katika kila jimbo la Uchaguzi,mmoja mwanaume na mmoja mwanamke; na kwamba yule mwanaume...
Ndio wana CHADEMA walichokaa wakajadili na kupendekeza kuwa wanataka jimbo moja liwe linakuwa na wabunge wawili.kwa hakika CHADEMA wajinga sana.

Yaani wanataka kuongeza gharama kwa mwananchi bila sababu. Halafu hapo bado wanataka kuwe tena na viti maalumu.sasa vitu maalum kwa ajili ya nini wakati tayari kwa kila jimbo wamependekeza kuwe na mwanamke? CHADEMA wajinga sana.
 
Nasema hivi,, mapendekezo ni ya cdm, ww unatumia muundo wa kiccm. Cdm wanataka mfuko wa majimbo, unajua ni kwa namna gani utafanya kazi?

Hizo hela ambazo unaonyesha ni za masikini hadi Leo zinalipa wenza wa wastaafu, kama una uchungu nazo onyesha ulipoleta uzi wa kupinga matumizi hayo.
 
Na wewe endelea na Gabliel wa Ufaransa!
Jadili vitu kama mtu mzima na kutoa ushauri na hoja kama mtu uliye pevuka kifikra na kimawazo na siyo kuandika vitu na kuzungumza kama vijana waliozibuka akili na kukosa malezi bora ya wazazi wao.

Ukubwa wa umri ni pamoja na kuonyesha uongozi katika kila jambo ikiwepo katika ujenzi wa hoja na kujadili hoja.siyo kuandika maneno ya kwenye kanga na vijiwe vya wavuta bangi.
 
Nakusamehe bure tu maana Mungu asema samehe na kuwabariki maadui zako na wale wakuchukizao.
Umekurupuka Kaka, hizo enzi zimepita.Angalia namna nyingine ya kuishi, mapema kabla uzee haujakuelemea.Kama mambo ni magumu sana, nenda ukawe hata CHAWA wa Mwijaku inaweza kuwa na tija kwako kuliko hii ligi unayoitamani.
 
Weka open hapa jukwaani nakala ya hayo mapendekezo, ili twende sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…