Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Nijibu kwanza suali langu kuwa je unaona ni sawa jimbo moja liwe na wabunge wawili kama inavyopendekezwa na CHADEMA? Unaona ni sawa kuwabebesha gharama kubwa watanzania?Umeliona hilo? Leo hii kuna umuhimu gani wa serikali ya ccm kuwa na DED na DC wilaya moja?
Wote wanakuwa na magari ya kifahari huoni kuwa ni ifujaji wa rasilimali za taifa?
Wacha kujiondoa akili kwa sababu ya kulazimisha uteuzi
Hivi wewe unatumia busara gani?Jadili vitu kama mtu mzima na kutoa ushauri na hoja kama mtu uliye pevuka kifikra na kimawazo na siyo kuandika vitu na kuzungumza kama vijana waliozibuka akili na kukosa malezi bora ya wazazi wao.
Ukubwa wa umri ni pamoja na kuonyesha uongozi katika kila jambo ikiwepo katika ujenzi wa hoja na kujadili hoja.siyo kuandika maneno ya kwenye kanga na vijiwe vya wavuta bangi.
Daaah leo umemtolea uvivu huyu chakubanga nimecheka sanaaaNimekushauri tu kwa sababu huko CCM thamani ya Dr Mdude ni kubwa kuliko wewe unayekesha Kutangaza namba ya Simu kama Mganga wa Kienyeji!
Wachana na CHAWAUmekurupuka Kaka, hizo enzi zimepita.Angalia namna nyingine ya kuishi, mapema kabla uzee haujakuelemea.Kama mambo ni magumu sana, nenda ukawe hata CHAWA wa Mwijaku inaweza kuwa na tija kwako kuliko hii ligi unayoitamani.
Wamewaongezea political mileage kwa uamuzi ule !Kwanza ni ujinga Kuzuia yasisomwe Kwa sababu ni mapendekezo sio gauge ya maamuzi.
Pili yameshatoka public so Haina maana.kuzuia.
Tatu ni madai ya Chadema Kila siku na Kila mara wanayasema hayo Toka enzi na enzi Kwa hiyo hakukuwa na sababu ya msingi Kuzuia.
Mwisho Uamzi wa kuchukua aunkutochukua maoni ya Chadema unasalia Kwa kamati so mambo mengine ni ujinga wa watu wa Serikali.
Unajaribu kupotosha ili wajinga wenzio wampelekee Mama yenu Taarifa upate teuzi? CHADEMA wamependekeza majimbo mqngapi ya Uchaguzi Hadi Wabunge wawe wengi kuliko wa Sasa? Yaani mikoa 32 ikiwa na Wabunge wawili wawili watazidi Idadi ya Wabunge wa Sasa? Ni mabadiliko gani ya maana yaliyoletwa na mkoa mmoja kuwa na Wabunge 10?Jibu swali eqe mmawia .niambie kuna sababu gani na umuhimu upi kwa utafiti upi mpaka jimbo moja liwe na wabunge wawili? Kwanini CHADEMA wanataka kuongeza gharama na mzigo kwa mlipa kodi? Je ndio maendeleo hayo?
Ndugu zangu Watanzania,
Nimesoma mapendekezo ya CHADEMA yaliyowasilishwa mbele ya kamati ya Bunge neno kwa neno, msitari kwa msitari na
Hawa wabunge wa mchongo wana dhani kila kitu ni mchongo.Mapendekezo ya jumla na msimamo wa CHADEMA juu ya miswada ya sheria iliyowasilishwa bungeni 10, Novemba 2023 inayohusu masuala ya uchaguzi na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa
NB; maoni haya ndiyo ambayo kamati ya kudumu ya bunge ya utawala, katiba na sheria inazuia yasisomwe
View attachment 2867492
View attachment 2867493
View attachment 2867494
View attachment 2867496
View attachment 2867498
View attachment 2867499
View attachment 2867500
View attachment 2867501
View attachment 2867506
View attachment 2867507
View attachment 2867508
View attachment 2867509
View attachment 2867510
View attachment 2867511
View attachment 2867512
View attachment 2867513
View attachment 2867521
View attachment 2867524
View attachment 2867527
View attachment 2867528
Chadema imejaa ma confident fools. Wajinga wenye kujiamini na kinaongozwa na wajanja wenye kuweka mbela matumbo yao.Ndugu zangu Watanzania,
Nimesoma mapendekezo ya CHADEMA yaliyowasilishwa mbele ya kamati ya Bunge neno kwa neno, msitari kwa msitari na kifungu kwa kifungu.nimesoma kuanzia mwanzo hadi mwisho kwa kuwa mimi siyo mvivu katika kusoma na huwezi u
0742-676627.
Acha ujinga wako wewe uwe unasoma na kuelewa na siyo kukurupuka tu kama kichaa. CHADEMA wamependekeza ni katika kila jimbo kuwe na wabunge wawili na siyo kila mkoa .nenda kasome hoja yao namba tano. Acha kukurupuka tu kama mlevi wa gongo.Unajaribu kupotosha ili wajinga wenzio wampelekee Mama yenu Taarifa upate teuzi? CHADEMA wamependekeza majimbo mqngapi ya Uchaguzi Hadi Wabunge wawe wengi kuliko wa Sasa? Yaani mikoa 32 ikiwa na Wabunge wawili wawili watazidi Idadi ya Wabunge wa Sasa? Ni mabadiliko gani ya maana yaliyoletwa na mkoa mmoja kuwa na Wabunge 10?
Mimi sijapotosha popote paleWeka kwanza mapendekezo ya CDM kwa Kamati tuyasome yote ili tuone na wewe umeandika nini, maana tunajua nyie watu wa kusifu na kuamudu aka chawa wa mama mlivyo wapotoshaji.
Serikali ni ya wananchi na wananchi ndio wanatakiwa kutunga katiba hivyo wanalazimika kukubali matakwa yao, atakaye kataa ni CCM ambayo ni kikundi cha wanachama ambao wameamua kilichomo ndani ya katiba ni lazima kitokane na mapendekezo yao tu na si vinginevyo.excelent mapendekezo. Nondo hizi CCM/serikali haiwezi kuzikubali maana ikizikubali mekwisha! Let us wait and see!
Mapendekezo ya jumla na msimamo wa CHADEMA juu ya miswada ya sheria iliyowasilishwa bungeni 10, Novemba 2023 inayohusu masuala ya uchaguzi na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa
NB; maoni haya ndiyo ambayo kamati ya kudumu ya bunge ya utawala, katiba na sheria inazuia yasisomwe
View attachment 2867492
View attachment 2867493
View attachment 2867494
View attachment 2867496
View attachment 2867498
View attachment 2867499
View attachment 2867500
View attachment 2867501
View attachment 2867506
View attachment 2867507
View attachment 2867508
View attachment 2867509
View attachment 2867510
View attachment 2867511
View attachment 2867512
View attachment 2867513
View attachment 2867521
View attachment 2867524
View attachment 2867527
View attachment 2867528
Yani CHADEMA mnapendekeza bunge liwe double the size, mna akili vichwani kweli nyinyi ?????
Eti kila jimbo lipige kura kwa mwanamke na kwa mwanamme. Kwani wanaenda kuchumbiana mle bungeni ????
Basi na kila wizara tuwe na waziri mwanamke na mwanamme!
Every freaking where, tuwe na pair za kijinsia! Na Mwenyekiti wa CHADEMA tupate na mwanamke pia, kum-pair na Mbowe!
Wretchedly poor third world coutry mnafikiria ku double the legislature?
Most imbecilic proposition in political history of the world
Mapendekezo mazuri sana. Sasa tuone hizo 4R ambazo tunajua ni utapeli zitasimama wapi.
Yani CHADEMA mnapendekeza bunge liwe double the size, mna akili vichwani kweli nyinyi ?????
Eti kila jimbo lipige kura kwa mwanamke na kwa mwanamme. Kwani wanaenda kuchumbiana mle bungeni ????
Basi na kila wizara tuwe na waziri mwanamke na mwanamme!
Every freaking where, tuwe na pair za kijinsia! Na Mwenyekiti wa CHADEMA tupate na mwanamke pia, kum-pair na Mbowe!
Wretchedly poor third world coutry mnafikiria ku double the legislature?
Most imbecilic proposition in political history of the world
Mapendekezo yamejikita kwenye 4R za Mama Kizimkazi!Mapendekezo ya jumla na msimamo wa CHADEMA juu ya miswada ya sheria iliyowasilishwa bungeni 10, Novemba 2023 inayohusu masuala ya uchaguzi na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa
NB; maoni haya ndiyo ambayo kamati ya kudumu ya bunge ya utawala, katiba na sheria inazuia yasisomwe
View attachment 2867492
View attachment 2867493
View attachment 2867494
View attachment 2867496
View attachment 2867498
View attachment 2867499
View attachment 2867500
View attachment 2867501
View attachment 2867506
View attachment 2867507
View attachment 2867508
View attachment 2867509
View attachment 2867510
View attachment 2867511
View attachment 2867512
View attachment 2867513
View attachment 2867521
View attachment 2867524
View attachment 2867527
View attachment 2867528
Mapendekezo mazuri yepi?
Dirt poor Third World country mnataka bunge la sasa la watu 400 liwe na watu 800!
Halafu you know full well CCM watazoa vast majority of those seats, kwa halali au kwa kuiba au kwa kuua watu. CCM siku zote wanazoa preponderant majority of the seats. Kwa hiyo mnapendekeza kuwaongezea CCM nafasi bungeni ili waongeze kula na kuvimbiwa jasho la wananchi.
Mna nini vichwani ?
Kwanza ni ujinga Kuzuia yasisomwe Kwa sababu ni mapendekezo sio gauge ya maamuzi.
Pili yameshatoka public so Haina maana.kuzuia.
Tatu ni madai ya Chadema Kila siku na Kila mara wanayasema hayo Toka enzi na enzi Kwa hiyo hakukuwa na sababu ya msingi Kuzuia.
Mwisho Uamzi wa kuchukua aunkutochukua maoni ya Chadema unasalia Kwa kamati so mambo mengine ni ujinga wa watu wa Serikali.