Mapendekezo ya kanuni itakayotumika kuwagawia wachezaji wa Taifa Stars pesa zao kutokana na zawadi ya 500,000,000/=.

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Mara nyingi huwa unatokea ugomvi linapokuja suala la kugawana pesa ya zawadi kati ya wachezaji. Ni vizuri zawadi igawiwe kwa kuzingatia mchango wa kila mmoja ili kila mmoja avune kwa kadri ya jasho lake. Hii ni kazi ngumu sana, lakini ni vizuri ukitumika utaratibu unaozingatia mchango wa kila mmoja katika ushindi uliopatikana. Hii itaepusha malalamiko.

Nipendekeze kanuni/formula inayoweza kutumika kwa haki ili kila mtu apate kulingana na jasho lake. Kanuni imezingatia ukweli kuwa hata mchezaji ambaye yupo kikosini lakini hakupata kucheza kwenye mechi ana mchango wake pia kwenye ushindi kupitia ushiriki wake wa mazoezi yaliyowaandaa wale waliopata namba.
Lakini ni kweli pia kuwa wale walioshiriki mazoezi na pia wakapata namba ya kucheza mechi, hawa mchango wao kwenye ushindi ni mkubwa zaidi. Nimekadiria kuwa mchango wa aliyeshiriki mazoezi pekee ya maandalizi ni asilimia 20% na mchango wa aliyeshiriki mazoezi kisha kucheza mechi ni asilimia 80%

1. Benchi la ufundi lisihusike na mgao huu maana wao wanapata mshahara bila kujali timu imefungwa au imefunga.
2. Mechi ni 6 na kila mechi ni dakika 90. Jumla ya dakika ni 540.
3. Pesa iliyotolewa ni 500,000,000/=
4. Hii 500,000,000/= igawanywe mafungu mawili ya 400,000,000/= (80%) na 100,000.000/=.(20%)
5. Fungu la 400,000,000/= wagawane wachezaji kwa kadri kila dakika alizocheza mtu katika mechi zote 6..
6. Thamani ya kucheza dakika moja kwa kila mchezaji = 400,000,000/= kugawanya kwa 540 kugawanya kwa 11 =67,340.06734.
7.. Waangalie dakika alizocheza kila mchezaji x 67,340.0734.
Kwa mfano mchezaji aliyecheza dakika zote 540 atapata: 540 x 67,340.0734 = 36,363636.364.

8. Fungu la 100,000,000/= wagawane wachezaji kwa kadri ya kila dakika ambazo mtu hakucheza katika zile dakika 540.
9. Thamani ya kutokucheza (lakini ukiwa kwenye kikosi) kwa dakika moja = 100,000,000/= kugawanya kwa 540 kugawanya kwa 11 = 16,835.016835.
10. Waangalie dakika ambazo mtu hakucheza x 16,835.016835.
6. Kwa mfano mchezaji ambaye hakupata kabisa kucheza katika dakika zote 540 atapata sh: 540 x 16,835.016835 = 9,090,909.0909. (Logic yake nim kwamba japo hakupata nafasi ya kucheza, lakini alikuwa anashiriki kwenye mazoezi yaliyowaandaa hao waliopata namba ya kucheza. Bila ya hawa hao waliocheza wasingeweza kuandaliwa vizuri. Kwa hiyo mchango wao na wa muhimu sana.).

Hii ina maana kuwa kila mchezaji atapata sehemu yake kutoka kwenye mafungu yote mawili, isipokuwa yule ambaye aidha alicheza dakika zote 540 au hakucheza dakika zote 540.
Hapo kila mtu atapata kwa kadri ya mchango wake kwenye ushindi. Wachezaji kwa mechi zote wahusishwe!
 
Haya mambo wanafanyaga watu wenye wivu...acha hizo bwana, wenyewe wacheze ww uje kupanga mgao kwl?Hili suala waachiwe wenyewe
Hujui hata maana ya wivu!! Atakayejisikia vibaya na mapendekezo haya ni yule tu ambaye alitaka kufaidika kwa kuwadhulumu wahusika!!

Hii ni timu yetu ya Taifa. Ni yetu wote (sisi ndiyo wenyewe) kwa hiyo kutoa mawazo yatakayochangia yeyote kutokudhurumiwa ni sawa kabisa. Tumeshawahi kushuhudia viongozi sehemu zingine viongozi wakibeba sehemu kubwa ya zawadi kwa visingizio mbalimbali, ni vizurti hili lisitokee. Halafu haya ni mapendekezo, si lazima yafuatwe kama yalivyo lakini yanatoia mwanga kuhusu mgao wa hakli utakaozingatia mchango wa kila mchezaji kwenye ushindi huo.
 
Mara nyingi huwa unatokea ugomvi linapokuja suala la kugawana pesa ya zawadi kati ya wachezaji. Ni vizuri zawadi igawiwe kwa kuzingatia mchango wa kila mmoja ili kila mmoja avune kwa kadri ya jasho lake. Hii ni kazi ngumu sana, lakini ni vizuri ukitumika utaratibu unaozingatia mchango wa kila mmoja katika ushindi uliopatikana. Hii itaepusha malalamiko.

Nipendekeze kanuni/formula inayoweza kutumika kwa haki ili kila mtu apate kulingana na jasho lake. Kanuni imezingatia ukweli kuwa hata mchezaji ambaye yupo kikosini lakini hakupata kucheza kwenye mechi ana mchango wake pia kwenye ushindi kupitia ushiriki wake wa mazoezi yaliyowaandaa wale waliopata namba.
Lakini ni kweli pia kuwa wale walioshiriki mazoezi na pia wakapata namba ya kucheza mechi, hawa mchango wao kwenye ushindi ni mkubwa zaidi. Nimekadiria kuwa mchango wa aliyeshiriki mazoezi pekee ya maandalizi ni asilimia 20% na mchango wa aliyeshiriki mazoezi kisha kucheza mechi ni asilimia 80%

1. Benchi la ufundi lisihusike na mgao huu maana wao wanapata mshahara bila kujali timu imefungwa au imefunga.
2. Mechi ni 6 na kila mechi ni dakika 90. Jumla ya dakika ni 540.
3. Pesa iliyotolewa ni 500,000,000/=
4. Hii 500,000,000/= igawanywe mafungu mawili ya 400,000,000/= (80%) na 100,000.000/=.(20%)
5. Fungu la 400,000,000/= wagawane wachezaji kwa kadri kila dakika alizocheza mtu katika mechi zote 6..
6. Thamani ya kucheza dakika moja kwa kila mchezaji = 400,000,000/= kugawanya kwa 540 kugawanya kwa 11 =67,340.06734.
7.. Waangalie dakika alizocheza kila mchezaji x 67,340.0734.
Kwa mfano mchezaji aliyecheza dakika zote 540 atapata: 540 x 67,340.0734 = 36,363636.364.

8. Fungu la 100,000,000/= wagawane wachezaji kwa kadri ya kila dakika ambazo mtu hakucheza katika zile dakika 540.
9. Thamani ya kutokucheza (lakini ukiwa kwenye kikosi) kwa dakika moja = 100,000,000/= kugawanya kwa 540 kugawanya kwa 11 = 16,835.016835.
10. Waangalie dakika ambazo mtu hakucheza x 16,835.016835.
6. Kwa mfano mchezaji ambaye hakupata kabisa kucheza katika dakika zote 540 atapata sh: 540 x 16,835.016835 = 9,090,909.0909. (Logic yake nim kwamba japo hakupata nafasi ya kucheza, lakini alikuwa anashiriki kwenye mazoezi yaliyowaandaa hao waliopata namba ya kucheza. Bila ya hawa hao waliocheza wasingeweza kuandaliwa vizuri. Kwa hiyo mchango wao na wa muhimu sana.).

Hii ina maana kuwa kila mchezaji atapata sehemu yake kutoka kwenye mafungu yote mawili, isipokuwa yule ambaye aidha alicheza dakika zote 540 au hakucheza dakika zote 540.
Hapo kila mtu atapata kwa kadri ya mchango wake kwenye ushindi. Wachezaji kwa mechi zote wahusishwe!
Rubbish
 
Hapo lazima watu wapoteane ,fedha ni shetani.
Si ajabu tukasikia wanatoa kwanza gharama za mechi kisha inayobaki ndo wagawane wachezaji. Au viongozi kumega fungu kubwa kwenye zawadi hii. Ni vizuri wachazaji ndo wafaidike. Ukiona uwazi haupo ujue wachezaji washapgwa tayari na kitu kizito kichwani!
 
Mara nyingi huwa unatokea ugomvi linapokuja suala la kugawana pesa ya zawadi kati ya wachezaji. Ni vizuri zawadi igawiwe kwa kuzingatia mchango wa kila mmoja ili kila mmoja avune kwa kadri ya jasho lake. Hii ni kazi ngumu sana, lakini ni vizuri ukitumika utaratibu unaozingatia mchango wa kila mmoja katika ushindi uliopatikana. Hii itaepusha malalamiko.

Nipendekeze kanuni/formula inayoweza kutumika kwa haki ili kila mtu apate kulingana na jasho lake. Kanuni imezingatia ukweli kuwa hata mchezaji ambaye yupo kikosini lakini hakupata kucheza kwenye mechi ana mchango wake pia kwenye ushindi kupitia ushiriki wake wa mazoezi yaliyowaandaa wale waliopata namba.
Lakini ni kweli pia kuwa wale walioshiriki mazoezi na pia wakapata namba ya kucheza mechi, hawa mchango wao kwenye ushindi ni mkubwa zaidi. Nimekadiria kuwa mchango wa aliyeshiriki mazoezi pekee ya maandalizi ni asilimia 20% na mchango wa aliyeshiriki mazoezi kisha kucheza mechi ni asilimia 80%

1. Benchi la ufundi lisihusike na mgao huu maana wao wanapata mshahara bila kujali timu imefungwa au imefunga.
2. Mechi ni 6 na kila mechi ni dakika 90. Jumla ya dakika ni 540.
3. Pesa iliyotolewa ni 500,000,000/=
4. Hii 500,000,000/= igawanywe mafungu mawili ya 400,000,000/= (80%) na 100,000.000/=.(20%)
5. Fungu la 400,000,000/= wagawane wachezaji kwa kadri kila dakika alizocheza mtu katika mechi zote 6..
6. Thamani ya kucheza dakika moja kwa kila mchezaji = 400,000,000/= kugawanya kwa 540 kugawanya kwa 11 =67,340.06734.
7.. Waangalie dakika alizocheza kila mchezaji x 67,340.0734.
Kwa mfano mchezaji aliyecheza dakika zote 540 atapata: 540 x 67,340.0734 = 36,363636.364.

8. Fungu la 100,000,000/= wagawane wachezaji kwa kadri ya kila dakika ambazo mtu hakucheza katika zile dakika 540.
9. Thamani ya kutokucheza (lakini ukiwa kwenye kikosi) kwa dakika moja = 100,000,000/= kugawanya kwa 540 kugawanya kwa 11 = 16,835.016835.
10. Waangalie dakika ambazo mtu hakucheza x 16,835.016835.
6. Kwa mfano mchezaji ambaye hakupata kabisa kucheza katika dakika zote 540 atapata sh: 540 x 16,835.016835 = 9,090,909.0909. (Logic yake nim kwamba japo hakupata nafasi ya kucheza, lakini alikuwa anashiriki kwenye mazoezi yaliyowaandaa hao waliopata namba ya kucheza. Bila ya hawa hao waliocheza wasingeweza kuandaliwa vizuri. Kwa hiyo mchango wao na wa muhimu sana.).

Hii ina maana kuwa kila mchezaji atapata sehemu yake kutoka kwenye mafungu yote mawili, isipokuwa yule ambaye aidha alicheza dakika zote 540 au hakucheza dakika zote 540.
Hapo kila mtu atapata kwa kadri ya mchango wake kwenye ushindi. Wachezaji kwa mechi zote wahusishwe!
Umetumia muda na nguvu nyingi kuandika haya, bahati mbaya hayana mantiki kabisa.
 
Inaleta logic nzuri lakini.
 
Back
Top Bottom