Mapenzi: Kuna wanaume wanaopendwa na kukataa


Well said
 
Me lazima nichombeze siwezi muacha hivi hivi, kama sura mbaya ntagegedia gizani bt nothing will cross over my eyes.
 
Ukitaka kula kila kitu utakula mpaka sumu. Lazima kuwa selective.

Sio mtu una allergy na shrimp, umeenda kwenye sherehe kuna shrimp za kumwaga na wewe ukafakamia kwa sababu umejaziwa kwenye sahani.

Utavimba mpaka kooni ushindwe kuhema.
 
Mwonekano wake, tabia yake, uwezo wake wa kufikiri, sababu zipo nyingi hizo no baadhi tu.
 
yaani mimi hata kardashian akiwa mchafu akaja kuniambia ananipenda namchomolea.. sipendi mwanamke mchafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…