Mapenzi: Kuna wanaume wanaopendwa na kukataa

Mapenzi: Kuna wanaume wanaopendwa na kukataa

Wanawake wengi huwa wanaamini kwamba kwamba mwanamume ni kiumbe dhaifu mbele ya wanawake (of course kuna ukweli flani) ila kuna mazingira pia wanaume huwa wanakuwa wagumu sana hata mwanamke ajigonge vipi, kitakachofanyika ni kuwa anakukwepa tu ili mradi asiingie kwenye anga zako pamoja na kwamba mnapokuwa kazini ataonyesha ushirikiano ila zile sehemu hatarishi kama nyumbani kwako na sehemu nyingine hata umwalike haji na akija anakuja na rafiki yake.

Kimsingi ukiona mwanamume anamkimbia bidada especially yule ambae kwa vigezo vya kibinadamu kwamba anaitwa mrembo ujue huyo jamaa kwanza ana mrembo wake ambae ameshamfanyia screening na kumwona anafaa kuwa wife wake pia kingine namna ambavyo huyo mrembo anatumia nguvu kumnasa mwanamume hivyo anaona kabisa hapa nikinasa mahusiano yangu niliyojenga na mrembo wangu kwa miaka mingi yatavunjika, but ukiingia kwa speed ya kawaida na akagundua kwamba sio king'ang'anizi na unatumia approach za kawaida ambazo zitamfanya akutokea huwa wengi tunakamatika kiurahisi na hapo ndio ule msemo wa mwanamume ni kiumbe dhaifu. (though napo inategemea maana hapo nae anaweza akawa anakupa ma-hope ya hata mnatoka wote alafu anaingia mitini hasa ukizingatia wanaume huwa hawamkatai mwanamke kwa style ya kumshushua zaidi ya kumwonyesha sign ya kutomwelewa aka domo zege kumbe ndio anakukataa hivyo unless kama umemwambia kabisa

Kikubwa hapo ni mvuto unahusika napo anaweza aka run away na hapa ni wengi

Well said
 
Me lazima nichombeze siwezi muacha hivi hivi, kama sura mbaya ntagegedia gizani bt nothing will cross over my eyes.
 
Ukitaka kula kila kitu utakula mpaka sumu. Lazima kuwa selective.

Sio mtu una allergy na shrimp, umeenda kwenye sherehe kuna shrimp za kumwaga na wewe ukafakamia kwa sababu umejaziwa kwenye sahani.

Utavimba mpaka kooni ushindwe kuhema.
 
Mwonekano wake, tabia yake, uwezo wake wa kufikiri, sababu zipo nyingi hizo no baadhi tu.
 
yaani mimi hata kardashian akiwa mchafu akaja kuniambia ananipenda namchomolea.. sipendi mwanamke mchafu
 
Back
Top Bottom