Binafsi sina muonekano wa kiutanashati kihivyo just niko kawaida tu,kama walivyo wanaume wengine lkn kila hatua niliyopitia kuanzia shule ya msingi nimekuwa nikipendwa sana na wasichana hadi kwakuandikiwa na barua na nilipifika shule ya upili ilitokea hali hiyo hiyo na kufikia kuwa adui wa akina dada hasa hao waliojitolea kunipenda mimi,kidato cha tano na sita ikatokea hivyo hivyo na hata chuoni lkn cha ajabu sikuwahi kuvutiwa hata mara moja na hao mabinti ingawa kwa muonekano walikuwa warembo ajabu ni kwamba wale nao wapenda mimi unisumbua sana hadi kuwapata sijaelewa kwanini hali hiyo tena kunakipindi rafiki zangu walikuwa wakiniona kama kichaa vile kuwatosa watoto wazur waliokuwa karibu yangu sema kimbembe ni kwa wale naotaka mimi i hv to.struggle to get them,kiukweli hali hiyo ya kuwakataa inatokana na kitu.kimoja wanaume tunapenda kwanza ns hiyo inanguvu sana ila ukipendwa hapo kazi ndio inakuwa ngumu