Mapenzi: Kuna wanaume wanaopendwa na kukataa

Mapenzi: Kuna wanaume wanaopendwa na kukataa

kukataa kupo best... tena unasema live kabisa bila kuficha maneno!!! hiyo inatokea pale mwanamke anapokufata na ndoto nyingi za kumuoa na kumake future....

Ila kama ni kuhit and run... nadhan tutakataa wachche lol!!!

Wengi sana mnarubuniwa lol
 
Utakuwa na wangapi,tufanye hapo kazini kwako wanakutaka wanawake 10 utawakubaliaje wote,kumbuka pia hata kama utafanikiwa kuwalamba wote mmoja mmoja lakini kaa ukijua kuwa shughuli zako katika hilo eneo zitaathirika maana wao hua hawana siri akishaliwa atataka mmoja au wawili wa marafiki zake wajue kuwa yeye ndio anaekumiliki,sasa subiria mziki utakao waka hapo,kila baada ya siku mbili lazima upate kesi ya kugombaniwa.Ndio maana wengine kujiepusha na kadhia kama hizo wanawatolea nje.
 
Wenyeji wa jamvi salaaam.

Nimekua nikijiuliza mara nyingi juu ya wale wanaume wanaobahatika kupendwa sana na wanawake fulani waliokaribu nao iwe kazini, vyuoni, mitaani n.k halafu huwa wanakataa kwa nguvu zote.
Hivi hata kama hujawahi kukutana na hali hii unahdani ni mambo gani yanayoweza kuwa sababu kwa wewe kumkataa mwanamke?

natanguliza shukrani zangu.
Evelyn Salt hebu njoo umwambie huyu mvulana, ni kitu gani hasa kimekufanya unidondokee namna hii??
 
Last edited by a moderator:
cute b naomba nishushie nyavu mwaya siku yangu ipendeze!!!
 
Last edited by a moderator:
Wewe nilikutongoza ukakubali ila wew ni mgumu wa kutoa mgegedo.. bwahahaha
Hapana, sikukubali labda hukunielewa. Nlikwambia tuonane kwanza ili tuongee. Mgegedo wangu hautoki kirahisi
 
Hata niwe na manzi kali kiasi gani kama atatokea mwenye nyaa siwezi mwacha ngoo laxima nimngoe
 
Back
Top Bottom