Mapenzi: Kuna wanaume wanaopendwa na kukataa

Mapenzi: Kuna wanaume wanaopendwa na kukataa

Wenyeji wa jamvi salaaam.

Nimekua nikijiuliza mara nyingi juu ya wale wanaume wanaobahatika kupendwa sana na wanawake fulani waliokaribu nao iwe kazini, vyuoni, mitaani n.k halafu huwa wanakataa kwa nguvu zote.
Hivi hata kama hujawahi kukutana na hali hii unahdani ni mambo gani yanayoweza kuwa sababu kwa wewe kumkataa mwanamke?

natanguliza shukrani zangu.

Binafsi sina muonekano wa kiutanashati kihivyo just niko kawaida tu,kama walivyo wanaume wengine lkn kila hatua niliyopitia kuanzia shule ya msingi nimekuwa nikipendwa sana na wasichana hadi kwakuandikiwa na barua na nilipifika shule ya upili ilitokea hali hiyo hiyo na kufikia kuwa adui wa akina dada hasa hao waliojitolea kunipenda mimi,kidato cha tano na sita ikatokea hivyo hivyo na hata chuoni lkn cha ajabu sikuwahi kuvutiwa hata mara moja na hao mabinti ingawa kwa muonekano walikuwa warembo ajabu ni kwamba wale nao wapenda mimi unisumbua sana hadi kuwapata sijaelewa kwanini hali hiyo tena kunakipindi rafiki zangu walikuwa wakiniona kama kichaa vile kuwatosa watoto wazur waliokuwa karibu yangu sema kimbembe ni kwa wale naotaka mimi i hv to.struggle to get them,kiukweli hali hiyo ya kuwakataa inatokana na kitu.kimoja wanaume tunapenda kwanza ns hiyo inanguvu sana ila ukipendwa hapo kazi ndio inakuwa ngumu
 
Mmmmh utakuwa ushapendwa wewe !! Mkubalie tu !!
 
mi mwenye nakupendaga we kibabu nashangaa umenikataa eti kiisa flat screen!! Hahah!
On serious note nimekumisi swahiba.

Kupendana najua tunapendana, tatizo vishawishi na wajanja wengi wamenizidi nguvu. Ila sijakata tamaa, iko siku nitafanikiwa.😎
 
Za siku mbili tatu.nimetulia kdg baada ya ile.dhoruba ya mod sasa sijui na hii ataiona.

Halafu wew nimekushtukia, hata wew unahusikaa.

Mbona kesho yake tena walifanya yao?? Kaizer wew!!! Mmmh!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom