Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Lakini Asian nadhani.Ni ya mwanamke mweupe mwenye chura classic
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini Asian nadhani.Ni ya mwanamke mweupe mwenye chura classic
Msukuma umepigwa Mtani wangu.... Pole sana.Habari za Jumapili wakuu;
Katika maisha mahusiano, kitu kinachoitwa mapenzi kuna wakati hulazimika kupiganiwa ili yadumu.
Hii ni kutokana watu wawili wanaopendana wana makuzi na tabia tofauti.
mwanzo wa mapenzi huwa mtamu sana, lakini hufika wakati wa kujuana tabia ndipo mapenzi huyumba.
Kipindi hiki ni cha mpito, huhitaji kuvumiliana huku mkiendelea kurekebishana kwa uvumilivu na upendo mkisubiri kipindi cha neema.
Katika utafiti wangu mdogo ni kuwa;
1. Wanawake weupe hawajui kuvumilia kwani huona wana soko kubwa.
2. Wanawake weupe hawapendi kupitia kipindi cha dhiki nakwambia unaachwa mchana kweupe.
3. Wengi wa wanawake weupe uaminifu wao ni mdogo sana wengi huchepuka.
4. Wanawake waupe wanapenda maisha ya juu na mteremko bila kugharamia.
5. Wanawake weupe ndio huongoza kuwa ma singo mama.
6. Kama walivyo weupe ndivyo walivyo wenye makalio makubwa kitabia.
Note: sio wote lakini kwa 90% wanawake weupe na wenye makalio makubwa ni ngumu kutulia katika ndoa.
msemo: katika kila wanaume kumi waliofilisika nyuma yake kuna wanawake 8 walihusika kufilisi.View attachment 2923008View attachment 2923009View attachment 2923011
Aaah wapi sijapigwa bali huwa nawala tuMsukuma umepigwa Mtani wangu.... Pole sana.
Inachekesha😅Nimefuatilia neno kwa neno na mstari kwa mstari, nimejiridhisha demu wake anajibebisha
MkoroganoKivipi kwa mwanaume tena
HahaLakini Asian nadhani.
Kweli kabisaInachekesha😅
mkuu unashaurije? tuanze kuwakagua kwanza nyuma wakoje au?Habari za Jumapili wakuu;
Katika maisha mahusiano, kitu kinachoitwa mapenzi kuna wakati hulazimika kupiganiwa ili yadumu.
Hii ni kutokana watu wawili wanaopendana wana makuzi na tabia tofauti.
mwanzo wa mapenzi huwa mtamu sana, lakini hufika wakati wa kujuana tabia ndipo mapenzi huyumba.
Kipindi hiki ni cha mpito, huhitaji kuvumiliana huku mkiendelea kurekebishana kwa uvumilivu na upendo mkisubiri kipindi cha neema.
Katika utafiti wangu mdogo ni kuwa;
1. Wanawake weupe hawajui kuvumilia kwani huona wana soko kubwa.
2. Wanawake weupe hawapendi kupitia kipindi cha dhiki nakwambia unaachwa mchana kweupe.
3. Wengi wa wanawake weupe uaminifu wao ni mdogo sana wengi huchepuka.
4. Wanawake waupe wanapenda maisha ya juu na mteremko bila kugharamia.
5. Wanawake weupe ndio huongoza kuwa ma singo mama.
6. Kama walivyo weupe ndivyo walivyo wenye makalio makubwa kitabia.
Note: sio wote lakini kwa 90% wanawake weupe na wenye makalio makubwa ni ngumu kutulia katika ndoa.
msemo: katika kila wanaume kumi waliofilisika nyuma yake kuna wanawake 8 walihusika kufilisi.View attachment 2923008View attachment 2923009View attachment 2923011
Tupa ndoano vua samaki wako🤣mkuu unashaurije? tuanze kuwakagua kwanza nyuma wakoje au?
Mkuu una cheupe nini[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu weupe na mimi tofauti aiseeMkuu una cheupe nini[emoji1787]
Mabomuya machozi haya kimbiaHabari za Jumapili wakuu;
Katika maisha mahusiano, kitu kinachoitwa mapenzi kuna wakati hulazimika kupiganiwa ili yadumu.
Hii ni kutokana watu wawili wanaopendana wana makuzi na tabia tofauti.
mwanzo wa mapenzi huwa mtamu sana, lakini hufika wakati wa kujuana tabia ndipo mapenzi huyumba.
Kipindi hiki ni cha mpito, huhitaji kuvumiliana huku mkiendelea kurekebishana kwa uvumilivu na upendo mkisubiri kipindi cha neema.
Katika utafiti wangu mdogo ni kuwa;
1. Wanawake weupe hawajui kuvumilia kwani huona wana soko kubwa.
2. Wanawake weupe hawapendi kupitia kipindi cha dhiki nakwambia unaachwa mchana kweupe.
3. Wengi wa wanawake weupe uaminifu wao ni mdogo sana wengi huchepuka.
4. Wanawake waupe wanapenda maisha ya juu na mteremko bila kugharamia.
5. Wanawake weupe ndio huongoza kuwa ma singo mama.
6. Kama walivyo weupe ndivyo walivyo wenye makalio makubwa kitabia.
Note: sio wote lakini kwa 90% wanawake weupe na wenye makalio makubwa ni ngumu kutulia katika ndoa.
msemo: katika kila wanaume kumi waliofilisika nyuma yake kuna wanawake 8 walihusika kufilisi.View attachment 2923008View attachment 2923009View attachment 2923011
Cheupe dawa, kausha damu unawajua wewe?kuhusuu shidaa nduguu uwiii hakunamwanamke anatakaa shida aijalishi rangi m napambana na mablckbeauty daily ishiwa uone
Shida siyo rangi au makalio mdogo wangu. Shida ni sisi ndo tunachanganya mambo kwa kufosi vitu. Kuhusu Wanawake mambo Yako wazi kabisa. Kuna;
1.Mwanamke wakuoa/mahusiano
2.Mwanamke wa starehe/mitoko na kutumia Yani bata
3.Mwanamke wa ngono/ kupelekea moto yani moto tu
4.Mwanamke wa mauzo/kuuzia sura
Sasa ukijichanganya ukachukua # 4 ukataka iwe # 1 utalia sana. Na ukitaka # 2 awe # 1 kufa masikini ni kugusa. Ukitaka # 3 awe # 1 inawezekana ila ni kwa muda tu. Umri unakuja na mengi kwa sisi wanaume. Mwanaume hata uweunapiga mashine vipi ukifika 50 dick lazima iwe legelege, penzi linakuwa ni kimoko hamu imeisha, sasa hapo ndipo utakapoona tatizo la #3 kumfanya kuwa #
Mke mwema hutoka Kwa Mungu bila kujalili umbile lake . Omba Mungu akupe kifaa kitacho kufaa na hatokuangusha.. Mimi hakuniangusha na shukrani zimeenda hapo kwenye kiti cha Enzi. Zingatia maombi… usiache…Habari za Jumapili wakuu;