Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 524
- 1,093
- Thread starter
- #201
Hujui ilikuwaje tuliza weweni kweli nna stress na ujinga unaoendelea Kama wa ule wa mtu kuleta habari ya kumchinja mkewe eti kwa sababu ya dharau.
Sasa unaachaje kuwa na stress kwa ujinga Kama huo ukiwa ni mtu timamu?