Mapenzi: Muogope sana mwanamke mweupe na mwenye makalio makubwa

Umeshaondoka we mzee au nije ila me mweusi usije ukanikimbia tu

Cheupeee dawa mi nishaondoka maeneo hayo, hizo sio sehemu zakukaa aisee la sivyo mshahara wote unaishia hapo...

Wiki ijayo tena...
 
Jamaa ni mtanzania alikuwa mume wa huyu mrembo ambaye ni binti wa hidaya wa pepe kale. Demu kaumbika siyo mchezo halafu kiburi kimjaa namkumdharau jamaa kwasababu wanaume wengi walikuwa wanafukuzia. Jamaa akaamua tu kumchinja na kisu.
View attachment 2923414
unasifia upotofu! Yaani mwanamke akukatae umuue si ni wehu! halafu baada ya kumuua ?
yaani kwa namba ya wanawake iliyojaa, unaweza kumsifia mwanamume anayeshindwa kumove on na kuishia kumuua mkewe
so sad!
 
Unaweza kuvumilia mkwo akianza dharau ndani kwa kukuletea hawara zake?
 
Wewe mbona umeongea kitu kingine! na hata hivyo mwanamke mpaka anakuletea mahawara nyumbani maanake huyo hakupendi,Sasa wewe kwa akili yako mbovu unaendelea kuishi naye wa nn, kwani hakuna wanawake wengine?
 
Unaongea kwa jazba una stress wewe
 
Mwanaume mweupe ana uhakika wa maisha kuliko mwanamke msomi
 
Wataka tuambia mwanadada ka poshqeen sio mvumilivu?
 
Back
Top Bottom